Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Uchawi wa 4WD ni nini hasa?

Noma

BK404379_0fcbca.jpeg
 
Diff lock ndo nn?
Diff lock kama jina lake.. Inalock matairi ya kwenye diff moja ili power iwe distributed nusu kwa nusu..! Bila kujali lipi lina less resistance..!

Tofauti na open diff.. Power huwa inakuwa transmitted kwenye tire yenye less resistance..
Kwahiyo incase umepita eneo.. Tairi moja likanyanyuka.. Jiandae kukwama.. Maana power yote itakuwa sent kwenye hilo tairi lililonyanyukana litaishia kuspin tuu..! Wakati tairi lililochini ndio lilitakiwa kupewa power ili utoke..!
Diff locker ndio inasolve hapo sasa..!
 
Umesomeka Mkuu. Tukutane Mawasiliano Park
 
Wakuu nikiri nilikuaga na Passo Julai 2021 niliagiza ndinga yenye 4WD Sasa nikapata safari Dar - Liwale huko nikakutana na barabara hazieleweki kila nikienda gari inatitia aisee nikaweka 4H mwendo mdundo. Nauliza uchawi wa 4WD ni nn? UNYAMA mwingi

View attachment 2077288
Hujawah nasa vizuri ww[emoji23][emoji23][emoji23] iyo 4w ukinasa ipasavyo ndo utajua hainaga umuhimu
 
Back
Top Bottom