'Uchawi' wa biashara ni 'location' tuu kwisha!

'Uchawi' wa biashara ni 'location' tuu kwisha!

Utazingatia yote hayo na ukatoka kapa. Kwa kuwa hiyo biashara ndiyo inashikilia maisha yako, jua kwanza maisha ni mchezo, ndipo ufungue hiyo biashara. Watu wengi wanafeli kwa kutokujua maisha ni mchezo. Au wengine wanadharau na kuendelea kupasua Sala za hizi dini zilizokuja kwa njia ya meli.
 
Nimecheka kaa fala 😂😂😂
 
Kwema!

Sitemi cheche nyingi wala, ukiachilia mbali vigezo vingine vya kufanya biashara kama bidhaa nzuri, customer care etc, ila uchawi nambari one ni LOCATION Pekee. (Physics inasema Location matters provided other variable factors remain constant) 👈👈👈 Hiyo ndiyo Business Law.

Huwa nashangaa watu wanafungua duka la nguo huko porini yaani mbalii ambapo daah.

Hata hapa Dar es Salaam unakuta dukani mtu akikaa mpaka analala, hii ni kwa baadhi ya vichochoro. tunasemaga duka lipo kushoto.

Cc CONTROLA nisiingilie kazi yake.
Sure
 
Ni location mkuu ila unaweza ukawa mvumilivu location mbaya ukatengeneza jina lako pia.
 
Back
Top Bottom