'Uchawi' wa biashara ni 'location' tuu kwisha!

Utazingatia yote hayo na ukatoka kapa. Kwa kuwa hiyo biashara ndiyo inashikilia maisha yako, jua kwanza maisha ni mchezo, ndipo ufungue hiyo biashara. Watu wengi wanafeli kwa kutokujua maisha ni mchezo. Au wengine wanadharau na kuendelea kupasua Sala za hizi dini zilizokuja kwa njia ya meli.
 
Nimecheka kaa fala πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sure
 
Ni location mkuu ila unaweza ukawa mvumilivu location mbaya ukatengeneza jina lako pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…