Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

Uchawi wa kukatwa na vitu vyenye ncha kali bila kujeruhika

Tanga nao wanao huo uchawi unatengenezwa haswa uguswi na siraha yoyote ile,huguswi na wanyama wakali wala majambazi
 
Tanga inaitwa muku mtu mmoja anaweza kupigana na watu wengi na akawadhuru wote bila yeye kuumia au mtu anapigwa na vitu vizito na vyakuumiza ila yeye haumii hata
 
Ni swala binafsi, ila baada ya kurudi salama anamshukuru aliyemuepusha na majanga. Kwani mtu kupata cheo atakueleza alichofanya? Atasema ni CV tu kumbe sivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom