Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

DOGofGOD

Dah, ndugu yangu!
Katika hii dunia elewa kabisa kuna 'free will'; kila binadamu anayo haki ya kuchagua maisha yake atakavyo maana atawajibika kwa Mungu pekee, sio mwanadamu!

Kuna kitu nimegundua kuhusu wewe; 'ndani yako huamini kufanikiwa'. Ndio sababu unashangazwa sana na mafanikio ya kawaida sana ya Platnumz.

Anyway, uko sawa kwasababu 'Uonavyo nafsini mwako ndivyo ulivyo'.... Mithali 23:7.

Jumapili njema!
 
Last edited by a moderator:
 
Mimi Namuamini Mungu Ndomana Nakemea Vitendo Vichafu Vya Ushirikina.Na Mambo Ya Kutegemea Pete Za Bahati Ili Kupata Mafanikio Ni Shirki Kubwa Sn.

Mimi Ni Mbwa Wa Mungu.Kwa Uwezo Nilipopewa Na Mungu Naweza Kuwagundua Wachawi Kwa Kunusa Tu.
 
Hahahaha poa naona umenusa ukagundua diamond mchawi... Me bwana sipendi kujudge watu bila ushahidi kama we umenusa umeona hivyo na una uhakika 100perc basi sawa
 
et rich mavoko na belle 9 wanazidiwa na daimond kuimba ben pol ???#satanic music
 
Nyooooooo mwambie na huyo unaemshabikia nae aloge sasa
 
Hahahaha poa naona umenusa ukagundua diamond mchawi... Me bwana sipendi kujudge watu bila ushahidi kama we umenusa umeona hivyo na una uhakika 100perc basi sawa

Ukitaka Kuamini Mwambie Avue Ili Peke Yake Ya Mkono Wake Wa Kushoto.Anayodai Ni Ya Uchumba Wa Mshirikina Mwenzie Zari.Halafu Uone Kazi
 
Ukitaka Kuamini Mwambie Avue Ili Peke Yake Ya Mkono Wake Wa Kushoto.Anayodai Ni Ya Uchumba Wa Mshirikina Mwenzie Zari.Halafu Uone Kazi
hahaa hawawezi kuku elewa ila babu tale kathibitisha cloudz
miwani na kuvua nguo kubaki wazi jukwaani angalia shoo zake nyingi anafanya hivyo
 
Nilichogundua ni kwamba kamwe Watanzania hatutaendelea. Watu wamekuwa wakiamini mambo yasiyoaminika. Hivi kweli mtu Hawezi kuwa na maendeleo hadi iwe uchawi!!! Inashangaza sana. Tumsapoti Diamond iwe anatumia au hatumii uchawi muhimu anailetea nchi yetu sifa.
 
Nyooooooo mwambie na huyo unaemshabikia nae aloge sasa

Hapa Hatuzungumzi Ushabiki Tunazungumza Facts.Anaetumia Uwezo Wa Talent Na Anaetumia Uwezo Wa Ndumba Mwisho Wa Siku Atajulikana Tu Nani Mwenye Uwezo Na Nani Zaid Na Nani Anastahil Kuitwa King.
 
hahaa hawawezi kuku elewa ila babu tale kathibitisha cloudz
miwani na kuvua nguo kubaki wazi jukwaani angalia shoo zake nyingi anafanya hivyo

Ndomana Napenda Kuwaita Hawa Binadamu Mamburulaz.Watakua Kawaloga Mpaka Wao.Manake Hawaelewi Hawasikii Na Wala Hawaoni.Inasikitisha Sana Kwa Kweli!
 
Fanya yako ndugu kila mtu ataubeba msalaba wake so tembea mbele kivyako acha ya watu
 
Fanya yako kaka after all kila mtu atabeba msalaba wake we tembea mbele kivyako ya watu waachie wenyew watajuana nayo
 
yani katika vitu ambavyo ni maajabu ni tz kuendelea ila mimi sitaki tz iyendelee maana nchi kama USA iliyoendelea tunawazidi akili wale yani binadamu wa jinsia moja kuowana nchi zilizoendelea ni kawaida sana sasa kuna faida gani kuendelea ili tuowane
note : hata nchi zilizo endelea kuna masikini, vilaza so kufanikiwa ni juhudi za mtu binafsi tu sio nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…