pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,913
- 13,876
hebu niambie hapa alimaanisha nn au bahati mbaya kwa nn walivua wote nguohivi utamjuaje mchawi kama huwangi nae
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hebu niambie hapa alimaanisha nn au bahati mbaya kwa nn walivua wote nguohivi utamjuaje mchawi kama huwangi nae
Kwani wewe khasa mafanikio yao au hasara zao wewe zinakukera nini? unajua kuna mshirikina sio mpaka wende ukaroge
kuwaonea wenzio kijicho mafanikio yao pia ni ushirikini,sasa wewe nawe pia mshirikini,kwanza ulijuaje kama na wewe humonao,au zamu yako bado na umechoka kusubiri ndio mana unaanza kusema wenzio?[/QUOTE
wajinga wengi wanafikiri kufanikiwa siyo kitu cha kawaida ila ni uchawi.ukifanya biashara ukafanikiwa ni uchawi na ni balaa ikatokea mzazi au member wa familia akafariki.wengine ukichaguliwa mbunge,cheo kikipanda nk,ukajenga nyumba ya kifahari gari nk ni uchawi.akili mgando sana.na cha ajabu sana wengine wanaosema ni wasomi sana.
kwani kuvua nguo ni uchawi? naomba kujua hapo alikua analoga ninhebu niambie hapa alimaanisha nn au bahati mbaya kwa nn walivua wote nguo![]()
![]()
![]()
Naomba niwekee picha yake ya kafara ili nijiridhishe na ushahidi maana naona unaandika barua ndefu bila attachment, halafu wewe ni mbwa wa mungu eehâmungu hana mbwa nina mashaka na imani yako pia usikute huwa mnapishana na diamond huko kwa waganga nigeria ndio maana mnajuana
mi sijasema ni uchawi mi nimeuliza walimaanisha nini kufanya hivyo????kwani kuvua nguo ni uchawi? naomba kujua hapo alikua analoga nin
Mimi Namuamini Mungu Ndomana Nakemea Vitendo Vichafu Vya Ushirikina.Na Mambo Ya Kutegemea Pete Za Bahati Ili Kupata Mafanikio Ni Shirki Kubwa Sn.
Mimi Ni Mbwa Wa Mungu.Kwa Uwezo Nilipopewa Na Mungu Naweza Kuwagundua Wachawi Kwa Kunusa Tu.
Nyooooooo mwambie na huyo unaemshabikia nae aloge sasaNilikua Nakuona Una Akili Sana.Kumbe Na Wewe Kichwani Zero Kama Mamburula Wengine Humu Jf.Yuko Wapi Mr.Nice Na Ushirikiana Wake.?
Hivi Kweli Binadamu Mwenye Akili Timamu Anaweza Kupenda Nyimbo "Kuku Kapanda Baiskeli".Kama Sio Nguvu Ya Ndumba.? Husiwe Na Mawazo Mgando Funguka.
Hahahaha poa naona umenusa ukagundua diamond mchawi... Me bwana sipendi kujudge watu bila ushahidi kama we umenusa umeona hivyo na una uhakika 100perc basi sawa
hahaa hawawezi kuku elewa ila babu tale kathibitisha cloudzUkitaka Kuamini Mwambie Avue Ili Peke Yake Ya Mkono Wake Wa Kushoto.Anayodai Ni Ya Uchumba Wa Mshirikina Mwenzie Zari.Halafu Uone Kazi
Nyooooooo mwambie na huyo unaemshabikia nae aloge sasa
nipo tehteh gooday
hahaa hawawezi kuku elewa ila babu tale kathibitisha cloudz
miwani na kuvua nguo kubaki wazi jukwaani angalia shoo zake nyingi anafanya hivyo
yani katika vitu ambavyo ni maajabu ni tz kuendelea ila mimi sitaki tz iyendelee maana nchi kama USA iliyoendelea tunawazidi akili wale yani binadamu wa jinsia moja kuowana nchi zilizoendelea ni kawaida sana sasa kuna faida gani kuendelea ili tuowaneNilichogundua ni kwamba kamwe Watanzania hatutaendelea. Watu wamekuwa wakiamini mambo yasiyoaminika. Hivi kweli mtu Hawezi kuwa na maendeleo hadi iwe uchawi!!! Inashangaza sana. Tumsapoti Diamond iwe anatumia au hatumii uchawi muhimu anailetea nchi yetu sifa.