Nilichogundua ni kwamba kamwe Watanzania hatutaendelea. Watu wamekuwa wakiamini mambo yasiyoaminika. Hivi kweli mtu Hawezi kuwa na maendeleo hadi iwe uchawi!!! Inashangaza sana. Tumsapoti Diamond iwe anatumia au hatumii uchawi muhimu anailetea nchi yetu sifa.
mr nice ilikuwa anatumia ndumbaa alivyokosea masharti ndo akapotea kwenye game wasanii kama cassim mr blue wale mziki ni kipaji hawafanyi hivyo vitu ndo maana wanatoa nyimbo watu wana wapotezea belle 9 rich mavoko wote walikataa hivyo vitu na hawatakaa washuke kwenye game labda waache mziki
mfano cassim anatulia anatoa nyimbo inabamba
source pwilo
hivi wewe ndo ulieniuliza swali ??ivi hili ni jibu la swali uliloulizwa?
et rich mavoko na belle 9 wanazidiwa na daimond kuimba ben pol ???#satanic music
mi sijasema ni uchawi mi nimeuliza walimaanisha nini kufanya hivyo????
Duuh!.Kati Ya Watu Waliocomment Pumba Wewe Unaweza Kukamata Namba Moja.Una Maana Unataka Tumruhusu Domo Atumie Ushirikina Kupata Tuzo Eti Kwasababu Nchi Inapata Sifa.? Sisi Tunataka Kukuza Vipaji Lakini Sio Kukuza Washirikiana.Eboo Acha Kuidhalilisha Hii Nchi.Ina Hazina Ya Wasanii Kibao Wenye Uwezo Na Talent Za Hali Ya Juu.Wanaoweza Kuitangaza Hii Nchi Kimataifa Bila Ya Kumiana Ndumba.
hivi wewe ndo ulieniuliza swali ??
Sasa hao wenye vipaji mbona hawafanyi vizuri kimataifa. Kwahiyo na Vanessa nae anatumia ndumba japo hajapata. Acha fikra potofu. Hata jk anatambua kipaji cha jamaa.
Ndo Akili Yako Inavyokutuma Uamini Hivyo.Wewe Umelogwa Na Uchawi Wa Kinageria Ndomana Hujitambua.Umepofushwa Na Mahaba Ya Nguvu Ya Ndumba Sio Bure
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
Taifa Kua Na Binadamu Wenye Mawazo Kama Ya Kwako Ni Hasara Kubwa.Au Labda Ni Nguvu Ya Ile Pete.
Na mtanyooka tu mamaee zenu....na bado AFRIMMA.
Angekuwa mzungu usinge sema anatumia uchawi,ila kwa vile Diamond ni mbongo,amejituma amefanikiwa,unaona wivu,unajiuliza imewezekana vipi,akafikia hapo,
Kaka acha wivu wa kike,fanya kazi na wewe ufanikiwe,mjini hapa uta.....katwa,
Diamond katoka mbali sana,ni juhudi zake tu,zimemfikisha hapo,hamna uchawi hapo,
Taifa Kua Na Binadamu Wenye Mawazo Kama Ya Kwako Ni Hasara Kubwa.Au Labda Ni Nguvu Ya Ile Pete.