DOGofGOD
JF-Expert Member
- Feb 15, 2015
- 1,341
- 480
- Thread starter
- #61
Nilichogundua ni kwamba kamwe Watanzania hatutaendelea. Watu wamekuwa wakiamini mambo yasiyoaminika. Hivi kweli mtu Hawezi kuwa na maendeleo hadi iwe uchawi!!! Inashangaza sana. Tumsapoti Diamond iwe anatumia au hatumii uchawi muhimu anailetea nchi yetu sifa.
Duuh!.Kati Ya Watu Waliocomment Pumba Wewe Unaweza Kukamata Namba Moja.Una Maana Unataka Tumruhusu Domo Atumie Ushirikina Kupata Tuzo Eti Kwasababu Nchi Inapata Sifa.? Sisi Tunataka Kukuza Vipaji Lakini Sio Kukuza Washirikiana.Eboo Acha Kuidhalilisha Hii Nchi.Ina Hazina Ya Wasanii Kibao Wenye Uwezo Na Talent Za Hali Ya Juu.Wanaoweza Kuitangaza Hii Nchi Kimataifa Bila Ya Kumiana Ndumba.