Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

wale ambao kama mimi tuna angalia mambo yanayo endelea kwa hawa wasanii wetu. naomba tuzidi kuwa wvumilivu sisi Mungu ata tuonyeshea nani ni bora.TUSIWATUKANE ILA TUWAPE USHIRIKIANO MPAKA MUNGU ATAKAPO JIBU
 
Taifa hili lina angamizwa na vijana wadogo wavivu wa kufikiri na kufanya kazi kwa bidii,wenye wivu na wapiga majungu wasio na vision.

Tufanye kazi kwa bidii tuwakomboe watoto wetu na tuutokomeze umaskini Tanzania,kamwe usikubali maisha duni uliyo ishi wewe na wazazi wako yaje kurithiwa na watoto na wajukuu zako.
 
Hapa Hatuzungumzi Ushabiki Tunazungumza Facts.Anaetumia Uwezo Wa Talent Na Anaetumia Uwezo Wa Ndumba Mwisho Wa Siku Atajulikana Tu Nani Mwenye Uwezo Na Nani Zaid Na Nani Anastahil Kuitwa King.

Hapa tunazungumzia facts!!!!!! Hahahaaa jamani eti facts, siku hizi kuna maana mpya ya neno facts eeeeh? ??????
 
Yaani kama uchawi ndio unaleta maendeleo bila kumuathiri mtu hata mimi nitakwenda ili nipate hayo maendeleo. Lakini kwani ninyi hampendi maendeleo si mwende mkaroge au tatizo nauli? Maana kama huu uchawi unabadili kura zote na macho ya watu kwenye keyboard yaani wanakuwa wanamuona Dai tu, hii safi sana

Hahahaaa nimecheka sana hii comment, mkuu sisi hatuna nauli ya kwendea nigeria!
 
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria achilia mbali wananchi wa kawaida wengi wao ni waumini wa imani za kishetani na washirikina wakubwa.

Mafanikio ya ghafla ya Chibu na mlolongo wa tuzo.Zinatokana na kujihusisha katika imani hizi za Kinageria.Safari nyingi za Chibu za kwenda Nigeria na kurudi zinahusisha pia kupata nafasi ya kushiriki katika ibada zao na kwa ajili ya kutoa sadaka na kufanya matambiko.

Collabo nyingi za domo anazoforce kufanya na wanigeria ni katika muendelezo wake wa kua karibu na wanamuziki maarufu ambao nao ni waumini wa imani hizi za kichawi.

Inasemekana hata utajiri alionao mkewe mtarajiwa Zari(thebosslady) chimbuko lake ni uko uko.Siri ya pete ya dhahabu anayoivaa domo mkono wake wa kushoto ambayo wengi wanadhani ni pete ya uchumba.Lakini ukweli ni kua ni pete aliyoipata nchini Nigeria na inabeba siri kubwa ya mafanikio yake.

wee mbulula mshirikina mkubwa muache dogo ajitume kwanza anafanya mazoezi na vitu vinaonekana umetumwa wewe
 
Rafiki upo? Nimefurahi kwenye huu uzi nimeona wenye positive thoughts wengi sana, halafu ni adimu humu celebrity forum.

Hahaahah nipo Rafiki bintikiziwi

Watu tunaamini katika ya "bidii" yeye anakuja na slogan ya "uchawi".

Haahahh leteni rula tunyooshe watu huku
 
Last edited by a moderator:
we mleta mada ndo mchawi mkubwa umejuaje kama nawewe sio mwanga big liar, hate him or die he gota be da prezidaaaa 4rever unadalili za ki gasho thread zako ni umbea umbea tu na vitu usivokuana uhakika navyo.
 
hatimaye leo ukweli umejulikana kwa hiyo tunakubaliana kuwa chibu ni mwanga mlozi, uwezo ziro na analoga hili amfikie king,nyimbo zero na kuanzia sasa tunafunga mjadala wa kumlinganisha huyu mwanga na king, period
 
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria achilia mbali wananchi wa kawaida wengi wao ni waumini wa imani za kishetani na washirikina wakubwa.

Mafanikio ya ghafla ya Chibu na mlolongo wa tuzo.Zinatokana na kujihusisha katika imani hizi za Kinageria.Safari nyingi za Chibu za kwenda Nigeria na kurudi zinahusisha pia kupata nafasi ya kushiriki katika ibada zao na kwa ajili ya kutoa sadaka na kufanya matambiko.

Collabo nyingi za domo anazoforce kufanya na wanigeria ni katika muendelezo wake wa kua karibu na wanamuziki maarufu ambao nao ni waumini wa imani hizi za kichawi.

Inasemekana hata utajiri alionao mkewe mtarajiwa Zari(thebosslady) chimbuko lake ni uko uko.Siri ya pete ya dhahabu anayoivaa domo mkono wake wa kushoto ambayo wengi wanadhani ni pete ya uchumba.Lakini ukweli ni kua ni pete aliyoipata nchini Nigeria na inabeba siri kubwa ya mafanikio yake.

Natamani kuweka red kwenye neno 'sadaka' lakini sijui. Kwa ninavyojua sadaka za kwenye movie za 'Nigeria' huwa ni watu. Sasa labda tuanzie hapo,nani katolewa sadaka na Mondi?
 
wale ambao kama mimi tuna angalia mambo yanayo endelea kwa hawa wasanii wetu. naomba tuzidi kuwa wvumilivu sisi Mungu ata tuonyeshea nani ni bora.TUSIWATUKANE ILA TUWAPE USHIRIKIANO MPAKA MUNGU ATAKAPO JIBU

mkuu tumpe ushirikiano mzee wa tunguli? period
 
Taifa hili lina angamizwa na vijana wadogo wavivu wa kufikiri na kufanya kazi kwa bidii,wenye wivu na wapiga majungu wasio na vision.

Tufanye kazi kwa bidii tuwakomboe watoto wetu na tuutokomeze umaskini Tanzania,kamwe usikubali maisha duni uliyo ishi wewe na wazazi wako yaje kurithiwa na watoto na wajukuu zako.

mzee wa tunguli
 
Back
Top Bottom