Hapa Hatuzungumzi Ushabiki Tunazungumza Facts.Anaetumia Uwezo Wa Talent Na Anaetumia Uwezo Wa Ndumba Mwisho Wa Siku Atajulikana Tu Nani Mwenye Uwezo Na Nani Zaid Na Nani Anastahil Kuitwa King.
Hahahahaha HAWA jamaa veepeee!!!
Yaani kama uchawi ndio unaleta maendeleo bila kumuathiri mtu hata mimi nitakwenda ili nipate hayo maendeleo. Lakini kwani ninyi hampendi maendeleo si mwende mkaroge au tatizo nauli? Maana kama huu uchawi unabadili kura zote na macho ya watu kwenye keyboard yaani wanakuwa wanamuona Dai tu, hii safi sana
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria achilia mbali wananchi wa kawaida wengi wao ni waumini wa imani za kishetani na washirikina wakubwa.
Mafanikio ya ghafla ya Chibu na mlolongo wa tuzo.Zinatokana na kujihusisha katika imani hizi za Kinageria.Safari nyingi za Chibu za kwenda Nigeria na kurudi zinahusisha pia kupata nafasi ya kushiriki katika ibada zao na kwa ajili ya kutoa sadaka na kufanya matambiko.
Collabo nyingi za domo anazoforce kufanya na wanigeria ni katika muendelezo wake wa kua karibu na wanamuziki maarufu ambao nao ni waumini wa imani hizi za kichawi.
Inasemekana hata utajiri alionao mkewe mtarajiwa Zari(thebosslady) chimbuko lake ni uko uko.Siri ya pete ya dhahabu anayoivaa domo mkono wake wa kushoto ambayo wengi wanadhani ni pete ya uchumba.Lakini ukweli ni kua ni pete aliyoipata nchini Nigeria na inabeba siri kubwa ya mafanikio yake.
Rafiki upo? Nimefurahi kwenye huu uzi nimeona wenye positive thoughts wengi sana, halafu ni adimu humu celebrity forum.
Katika bara la Afrika.Nigeria ndio inayoongoza kwa uchawi na vitendo vya kishirikina.Wasanii wakubwa, wafanyabiashara, wacheza filamu, watumishi wa Mungu, wanasiasa, watu maarufu nchini Nigeria achilia mbali wananchi wa kawaida wengi wao ni waumini wa imani za kishetani na washirikina wakubwa.
Mafanikio ya ghafla ya Chibu na mlolongo wa tuzo.Zinatokana na kujihusisha katika imani hizi za Kinageria.Safari nyingi za Chibu za kwenda Nigeria na kurudi zinahusisha pia kupata nafasi ya kushiriki katika ibada zao na kwa ajili ya kutoa sadaka na kufanya matambiko.
Collabo nyingi za domo anazoforce kufanya na wanigeria ni katika muendelezo wake wa kua karibu na wanamuziki maarufu ambao nao ni waumini wa imani hizi za kichawi.
Inasemekana hata utajiri alionao mkewe mtarajiwa Zari(thebosslady) chimbuko lake ni uko uko.Siri ya pete ya dhahabu anayoivaa domo mkono wake wa kushoto ambayo wengi wanadhani ni pete ya uchumba.Lakini ukweli ni kua ni pete aliyoipata nchini Nigeria na inabeba siri kubwa ya mafanikio yake.
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.
Wabongo wanafiki sana.... Hivi kumchafua hivyo ili nn mbna hujaweka vielelezo vinavyoeleweka...
wale ambao kama mimi tuna angalia mambo yanayo endelea kwa hawa wasanii wetu. naomba tuzidi kuwa wvumilivu sisi Mungu ata tuonyeshea nani ni bora.TUSIWATUKANE ILA TUWAPE USHIRIKIANO MPAKA MUNGU ATAKAPO JIBU
Taifa hili lina angamizwa na vijana wadogo wavivu wa kufikiri na kufanya kazi kwa bidii,wenye wivu na wapiga majungu wasio na vision.
Tufanye kazi kwa bidii tuwakomboe watoto wetu na tuutokomeze umaskini Tanzania,kamwe usikubali maisha duni uliyo ishi wewe na wazazi wako yaje kurithiwa na watoto na wajukuu zako.