Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

Uchawi wa Nigeria: Siri ya mafanikio ya Chibu lakini sio uwezo wake

Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.

Hizo kafara ulienda kufanya naye au wewe ndio mtoa kafara unataka kumfundisha?
 
Mimi Simuonei Wivu.Ila Namshauri Hasitegemee Kafara Hazitamfikisha Kokote.Afate Mfano Wa Wasanii Wengine Wanaotumia Vipaji Vyao Kupata Mafanikio.

Na kama mnajua anategemea kafara na ushirikina kwanini mnamfananisha na huyo ambaye hanaimani hizo, mnatuuzi sana na lazima mnyooke nyaaambaaaf
 
mmkalia umbeya tu.....unajaza server na ndiyo maana watu hawana mda wa kupoteza kukomment ujinga upumbavu huu uliouandika hapa...

kama ni mchawi kinachokuuma nini wewe... ...alah!
 
Duuh!.Kati Ya Watu Waliocomment Pumba Wewe Unaweza Kukamata Namba Moja.Una Maana Unataka Tumruhusu Domo Atumie Ushirikina Kupata Tuzo Eti Kwasababu Nchi Inapata Sifa.? Sisi Tunataka Kukuza Vipaji Lakini Sio Kukuza Washirikiana.Eboo Acha Kuidhalilisha Hii Nchi.Ina Hazina Ya Wasanii Kibao Wenye Uwezo Na Talent Za Hali Ya Juu.Wanaoweza Kuitangaza Hii Nchi Kimataifa Bila Ya Kumiana Ndumba.[/QUOTE]
Mkuu unasema kweli kabisa, nyie mnao mtetea DOMO ipo siku mtaujua ukweli....mwisho wa uchawi ni kifo.
 
Ukitaka Kuamini Mwambie Avue Ili Peke Yake Ya Mkono Wake Wa Kushoto.Anayodai Ni Ya Uchumba Wa Mshirikina Mwenzie Zari.Halafu Uone Kazi

we umejuaje kwamba pete ndo inamletea mafanikio?
mpumbavu wee
 
Waaii. ...!! Hivi na juhudi alizonazo hazionekani!!? Kwendeni zenu, eti uchawi!! Kawangeni na nyie muwe juu..
Dalili za kuelekea kunyooka hizoooo...

Tatizo la wabongo ndo hilo,,,, UNAFIKI TU,,,mtu akiwa na juhudi za kupigana maishani,,, ataitwa mchawi... Freemason oh muuza sembe,,, upumbavu mtupu,,,
 
Mi sijaelewa labda apa!!

a) Hivi pete ndio inatunga hizo nyimbo?

b) Pete ndio inatoa tuzo za MTV?

c) akiwa na hiyo pete akawa analala tu bula kujishughulisha atapata hizo tuzo au angepata mafanikio?

Niweke sawa mkuu

mimi like this.
 
Acha unafki wewe,,, tafuta kazi pigana kwa maendeleo yako acha ujinga
 
Upuuzi huu uzi bado karne hii unaamini uchawi unafanya kazi na unaleta mafanikio wewe mtu Wa ajabu sana kwanini nawewe usifanye uchawi ukawa kama mohamed enterprises. Jitume katika kazi fanya kazi usiku na mchana jichanganye katika kila fursa uionayo mbeleyako utafanikiwa kwani humuoni domo anavyojituma kupeleka tu wimbo wako kutaka kuchaguliwa uingie kwenye tuzo ni ujasiri wa hali ya juu. Acha maneno ya mkosaji hayo
 
Mafanikio gan ya gafla kwan mziki kaanza juz huyo, ana miaka ming tu yupo kwenye mzik ila ni juhud zake ndio zmemfikisha hapo hajawah kuridhika na mafanikio yake. So stop thz stupidty.. Ukihic utajiri unapatikana Nigeria bas funga safar na wew uende.
 
Bongo nouma san,m2 akifel watasem 2lijua 2 hawez kufik mbal,akifanikiwa kabahatisha au kafny uxhirikin,aya kip bora sas??
 
mr nice ilikuwa anatumia ndumbaa alivyokosea masharti ndo akapotea kwenye game wasanii kama cassim mr blue wale mziki ni kipaji hawafanyi hivyo vitu ndo maana wanatoa nyimbo watu wana wapotezea belle 9 rich mavoko wote walikataa hivyo vitu na hawatakaa washuke kwenye game labda waache mziki


mfano cassim anatulia anatoa nyimbo inabamba
source pwilo

Teh teh teh source nani?
 
Last edited by a moderator:
khaaaa!!! naisikitikia sana nchi yangu yani watu wanawivu sana na mafanikio ya wenzao wakifanikiwa ndo mnakimbia kwenye uchawi sasa kama mchawi yeye wewe inakuuma nini?..muombee basi aache uchawi ndo maana aliwaambia mtanyoooka tuuu....!!!nahisi mleta uzi ni sepetu kaja na ID hii..... kama wa kuwanyoosha hawapo hata yeye mwenyewe atawanyosha hayo makunyanz....
 
Back
Top Bottom