Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
Ndiyo kusema hao wengine wana kocha bonge siyo!!Hata kocha wa Simba Hana frist eleven Nadhani anapangiwa na viongozi.View attachment 2458764
Tambiko hatarishi?Upande wa pili uchawi wao
Huo uchawi ndiyo ulimbadilisha mshambuliaji wao hatari kabisa Chris Mushimba Mugalu siku hiyo na kuwa kiungo mkabaji kwa dakika zote 90 za mchezo πππUpande wa pili uchawi wao