Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kumbe ndiye anayefaaTaarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa.
Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika basi athubutu kukubali kujiunga na Yanga, kwanza nitamshangaa!
"Mashabiki wa Simba ni mbumbumbu"-RageNdipo nitaona wazungu nao ni utopolo tu kama alivyo Senzo. Kufundisha timu kama yanga yenye mashabiki mazombie wasiojielewa,lazima nawe uwe chenga kidogo.
Angalia mwenyekiti wao, ni msomi lakini anafanya mambo ya kitoto sana kudanganya umma simu imehakiwa. Angalia makamu wa mwenyekiti anavyoibuka na press conference kila Morrison akifunga. Ujajiuliza hivi hawa jamaa na washabiki wao hawaponi tu huu ugonjwa wa utopolo?
We babe usimba unakufanya zuzu, kocha yupo kwa ajili ya kufundisha mpira, Kama Yanga mbovu, basi Kama atakuja uchebe akaifanya iwe imara basi huyo ni kocha bora. Au unamhofia uchebe kuja jangwani? Relax endelea kunywa mchuzi, nyama ziko chini.Taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa.
Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika basi athubutu kukubali kujiunga na Yanga, kwanza nitamshangaa!
Apana ni Uchebe Under taker.Uchebe huyu huyu wa Shilole au????
Huo ni woga, baada ya sare na prisons. Kama sare hii ingetokea kabla ya mechi wa Yanga na Polisi kuchezwa huenda Kaze asingefukuzwa Yanga. Na huenda sare hii ya Simba dhidi ya Prisons huenda ikamrudisha Kaze kikosini. Ki ukweli kaze sio kocha mbaya, ni hamaki tu za viongozi kuimba nyimbo za mashabiki nje ya uwanja. Eti shabiki wawili watatu wanalia na kutishia kutokwenda uwanjani tena na viongozi kusahau kuwa Yanga ina watu wengi sana nyuma yakeTaarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba Timu mbovu ya Yanga imewasiliana na AFC Leopard ya Kenya kwa lengo la kumnunua kocha wake Patrick Ausem, kocha aliyewahi kuifundisha Simba ya DSM kwa mafanikio ili kuziba pengo la Kaze aliyetimuliwa.
Kiukweli ikiwa kama Uchebe anataka kudhalilika basi athubutu kukubali kujiunga na Yanga, kwanza nitamshangaa!
Walisawazisha kwa goli la offside.hakuna ubishi simba inayo namna. Wametenga kasma kubwa ya kufanikisha mambojana Prison imewatoa Simba kamasi
Na nyie mumesahau Wagosi walivyokutoeni bikra na kuwakeketa mchana kweupeeeeeejana Prison imewatoa Simba kamasi
Wajukuu wako watakuona muongo kwa sababu watakuwa washabiki wa simba na kipindi hicho simba itakuwa inashiriki klabu bingwa ya dunia huku upotolo ikiwa daraja la nneWajukuu wangu watakuja kuniona mimi ni muongo sana nikija kuwaambia Simba ilio shangilia sare jana kwa Prison ambao walikuwa pungufu ndio Simba iliyomfunga Al Ahly!!