Aaah, wanasema shilole anamlea jamaa, ana hela gani ya kumuhonga mwanaume?ye mwenyewe anadanga
Ewaaa akajisahau kua vijana wakuzama mgodini nakuchimbua chimbua Wamejaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa! Akajisahau bwana
Ishakula kwakeEwaaa akajisahau kua vijana wakuzama mgodini nakuchimbua chimbua Wamejaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amepata alichokua anataka...ngoja aje mtaani aolewe na vidume
[emoji23][emoji23][emoji23]ngoja hata ivo ajifunze maisha.Ishakula kwake
Eeh tigo tenaHapo sasa Kijana hakujua kanuni ya kula nakipofu
Sema nn, unakuta Anaenda sana chumvini kwa Shilole + kula na Tgo..
Vijana wengi wakifanya hivo vitu, wanakua wanajihakikishia KUTOKUACHWA ikiwa mtendewaji hawezi pata wakumfanya hayo.
Mwanamke pekee ambaye huwezi mpiga ni mchumba na damu maana ni rahisi kumwacha..ila mke lazima achezee kipondo ili kumwwka sawa..huwwzi niletea dharau nikakuchekeaMwanamke akileta dharau lazima umpe kipigo hiyo sheria ya kwamba mwanamke hapigwi ni ya kijinga sana, kuliko kumrudisha kwao bora umpe kipigo ili maisha yaendelee.
Na mwanamke ambae anajitambua hawezi kuweka mambo ya ndani hadharani, maswala ya ndani yanaishia ndani. Ndoa siku zote ni uvumilivu kwenye shida na raha.
Shilole ni mjinga sana na ipo siku atamuomba msamaha uchebe, hata kama mmeo akiwa hana kitu unatakiwa umuheshimu.
Uchebe najua wengi wamekuona mkosaji lakini ukweli wote unaujua, kubali adhabu itakayotolewa ila najua Mungu wako atakusimamia.
Yaani wanaume wa Kinondoni wanapenda umarioo!!![emoji23][emoji23][emoji23]ngoja hata ivo ajifunze maisha.
Kijana unaanzaje tegemea mwanamke.??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaah lolEwaaa akajisahau kua vijana wakuzama mgodini nakuchimbua chimbua Wamejaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amepata alichokua anataka...ngoja aje mtaani aolewe na vidume
Pia wanaume na vijana wanaomuona uchebe km role mode wao.Nawahurumia wanawake na mabinti ambao wanamuona Shilole kama role model wao.
Piga tu baba.... wewe ulikubaliana na mtu kuvaa nguo but unavaa. Ukiwa in a society tayari upo katika makubaliano ya kijamii whether upo informed or not.mmekubaliana na nani bana? Eti "as a society", wanawake weusi ni viburi na wajuaji, bila kipigo hamna ndoa. Mwanamke mweusi ndio mwanamke pekee duniani anaeweza kufanya shughuli zinazofanywa na mwanamme. Kwahiyo mkiwa ndani ya nyumba inakua ni kushindana tu nani ana uwezo mkubwa wa akili, kulea watoto n.k. Ndio maana wanamichezo maarufu wanaoa wanawake weupe, sasa mweusi bila kipigo hamuendi. Hamna alieoa atakae kubali upuuzi wa kutompiga mwanamke.
Tuwasikitikie kwa kuacha kutumia mitandao ya kijamii kwa week moja.Pia wanaume na vijana wanaomuona uchebe km role mode wao.
Tuache sie au wao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tuwasikitikie kwa kuacha kutumia mitandao ya kijamii kwa week moja.
Mimi na wewe itapendezaTuache sie au wao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heeeeeeh makubwa tena mieee huyu niache kuwa Online kisa maombolezo hayoo? Uwiiiiiiiiiih hebu kuwa serious lolMimi na wewe itapendeza
Tunaenda fungate , mimi na wewe kwenda kuwasikitikia vizuri.Heeeeeeh makubwa tena mieee huyu niache kuwa Online kisa maombolezo hayoo? Uwiiiiiiiiiih hebu kuwa serious lol
Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.
Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.
Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha.
Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikuwa wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.
Huhuhhuhuuh utanpa in4 siku za maombolezo na unipitie tuelekee huko, ingependeza iwe Paris,Tunaenda fungate , mimi na wewe kwenda kuwasikitikia vizuri.