Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Aaah, wanasema shilole anamlea jamaa, ana hela gani ya kumuhonga mwanaume?ye mwenyewe anadanga

Ile ni ndoa haina uhusiano na swala la kuleana kabisa, wangekuwa hawajafunga ndoa ningekubali kuwa jamaa analelewa! Ni mumewe
 
Mwanamke akileta dharau lazima umpe kipigo hiyo sheria ya kwamba mwanamke hapigwi ni ya kijinga sana, kuliko kumrudisha kwao bora umpe kipigo ili maisha yaendelee.
Na mwanamke ambae anajitambua hawezi kuweka mambo ya ndani hadharani, maswala ya ndani yanaishia ndani. Ndoa siku zote ni uvumilivu kwenye shida na raha.
Shilole ni mjinga sana na ipo siku atamuomba msamaha uchebe, hata kama mmeo akiwa hana kitu unatakiwa umuheshimu.
Uchebe najua wengi wamekuona mkosaji lakini ukweli wote unaujua, kubali adhabu itakayotolewa ila najua Mungu wako atakusimamia.
Mwanamke pekee ambaye huwezi mpiga ni mchumba na damu maana ni rahisi kumwacha..ila mke lazima achezee kipondo ili kumwwka sawa..huwwzi niletea dharau nikakuchekea
 
Malaya analala siku 2 nje afu umchekee kwanza mbona hajatoa kipigo heavy ilitakiwa akapate fahamu yupo mediko muhimbiliiii
 
Ewaaa akajisahau kua vijana wakuzama mgodini nakuchimbua chimbua Wamejaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Amepata alichokua anataka...ngoja aje mtaani aolewe na vidume
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tobaaaaaaah lol
 
Nawahurumia wanawake na mabinti ambao wanamuona Shilole kama role model wao.
 
mmekubaliana na nani bana? Eti "as a society", wanawake weusi ni viburi na wajuaji, bila kipigo hamna ndoa. Mwanamke mweusi ndio mwanamke pekee duniani anaeweza kufanya shughuli zinazofanywa na mwanamme. Kwahiyo mkiwa ndani ya nyumba inakua ni kushindana tu nani ana uwezo mkubwa wa akili, kulea watoto n.k. Ndio maana wanamichezo maarufu wanaoa wanawake weupe, sasa mweusi bila kipigo hamuendi. Hamna alieoa atakae kubali upuuzi wa kutompiga mwanamke.
Piga tu baba.... wewe ulikubaliana na mtu kuvaa nguo but unavaa. Ukiwa in a society tayari upo katika makubaliano ya kijamii whether upo informed or not.
 
Uchebe akihojiwa na kituo kimoja cha radio anasema picha zilizopostiwa mtandaoni ni za mwaka jana na kwamba mwaka huu hajampiga Shilole kabisa.

Anasema madai ya Shilole kupigwa siku ya sabasaba si ya kweli, kwa sababu hiyo siku Shilole hakulala nyumbani.

Ili kuthibitisha hilo amesema atafutwe akaguliwe kama ana jeraha lolote la hivi karibuni. Anadai Shilole ni mzima kabisa wa afya na hana jeraha.

Uchebe anaeleza kuwa Shilole amekuwa na desturi ya kutokulala nyumbani hata siku mbili na akirudi hataki kuulizwa alikuwa wapi? Na hio ndio "source" ya ugomvi wao wa mara kwa mara.

Kweli wanaume tumebaki wachache, huyo sio mwanamke wa kuoa , huyo unakula mambo unasepa kwa mkeo.
 
Back
Top Bottom