Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Kwahiyo mwakajana nusura amtoe roho, jinai haizeeki Sher ichukue mkondo wake
 
Hapo huyo kaka ndio mwenye matatizo
Hivi unaoa mwanamke wa mjini wa mazingira kama hayo unategemea nini?
Isitoshe yeye ndie anakulisha !!!!!!

kitendo cha kujikubalisha kumuo tu maana yake ushajiandaa kuvumilia ya mbele yako, sasa anapofanya mambo kama haya anakua ni mtu usieleweka kabisa.
 
Nilimuona akihojiwa kipindi cha shilawadu yule mtangazaji alimuuliza habari za Nuhu Mziwanda Shilole alimrushia kiti yule mtangazaji kilimkosa kingempata ilikuwa ni hatari
Ninawashangaa hata watu wanaoshangaa zile picha na wanaosema sijui jinai haizeeki.
Wote ni mashahidi hapa, shilole alipopigwa mwakajana habari ilivuma na shishi mwenyewe alithibitisha kwamba kapigwa Ila sikuona mtu yeyote Wala chombo chochote Cha usalama , au mashirika ya haki za wanawake yakisema chochote zaidi ya kumzodoa shishi kwamba kupigwa kwake kulitokana na tabia ya ubabe.

Leo picha zimetoka ambazo Ni za zamani na shilole anadai Ni za Sasa watu wanegeuka Tena.

Jiulize, Kama shishi kapigwa kweli kwanini asipige picha za Sasa? Kutumia picha za zamani kunampa faida gani? Kwanini alianza kuwatumia watu picha usiku huohuo baada ya kupigwa( Kama Ni kweli) na picha ziwe za zamani?
View attachment 1502333
 

UKUMBUSHO

Adhabu ya mzinzi mwanaume/mwanamke ni kifo

Adhabu ya muasherati mwanamke/mwanaume ni kupigwa bakora 100.
 
Huyo Uchebe nae hajui kupiga.

Unapigaje mtu anakuwa na nguvu za kutamba kwenye media.

Alitakiwa apigwe alale ndani mwezi mzima.
Akilala mwezi mzima atapata wapi pocket money?
 
Yaani wanaume wa Kinondoni wanapenda umarioo!!!
Yaani kwa staili hyo acha Dada alale nje Tu kutafuta
Siyo wote Labda vijana wa sasa
Enzi zetu tulikuwa tunafikiria kusafiri tu na ku hustle.... Vijana Sahv wao wanataka wapendeze muda wote

Ova
 
Sasa mtu halali siku mbili why unaishi nae? Si Bora muachane bila ugomvi?
Tatizo kulishwa na kuvalishwa kazi sana akimuacha nguo zitachanika na utapia mlo juu lazima awe mpole,ila nimempongeza uchebe hataki kuwa mpole kaonesha uume
 
Mwanamke akikuzidi kiuchumi kwenye mahusiano shidaaa
Mwanaume ukiwa na uchumi mkubwa nayo shidaaaa
Hawa hawatabiriki
Lakini siyo wanawake wote....

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…