Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Naam Vyombo vya sheria vimemchunia kama vile havijaona zile picha

Shilole alikosea kama kweli alikuwa anahitaji msaada angekwenda katika vyombo vya sheria 'kuliko kukimbilia IG kwani kule ndio vyombo husika vilipo !?
Kiki ya uchaguzi ile
 
Mh hili la kuamshwa kitandani na migumi nalo ni Jambo.
Usiamini maneno ya mtu anayetaka kupindisha ukweli. Uchebe kasema mkewe alikuwa anaondoka hata siku mbili bila kurudi nyumbani Je na hilo utasemaje.

Anasema alikuwa anapigwa kwa makosa ambayo wangeweza kuzungumza. Mtu unalala nje siku mbili je linazungumzika hilo? Hapo nime-assume kila wanalosema ni kweli ingawa najua sio kweli
 
Ushasema ulaya mkuu huko kwenye vichaa wanaoruhusu hata wanaume kwa wanaume waoane😁😁 Hapa tupo Tanzania sehemu yenye maadili sio kwa vichaa hao
Sio sehem yenye maadili, sema sehemu yenye kuruhusu upuuzi, yani mwanamke akandamizwe apigwe ndio iwe maadili.
Wanaume wangapi wanafanya vituko na vitu vya ajabu kwa wake zao nani anawapiga.

NB: kimaumbile mwanamke ni kiumbe dhaifu,wew huwezi ukawa mwanaume unasimamisha mishipa kumpiga mwanamke, lazima utakuwa mpumbavu.
 
Kwanini ung'ang'anie kuwa na star wakati unajua you can't handle the pleasure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kupenda vitonga kutawauwa
Kutatuua sisi au nyie wasanii wa kikeπŸ˜….Maana shape ya sura zenu zitazidi kubadilikaπŸ˜†
 
Umeambiwa unapotyoa talaka katika uislam ni kwamba mpaka mbingu zinatikisika. Uchebe hakutaka kutikisa mbingu na alikuwa na mapenzi ya kweli kwa mkewe aliamini atabadilika
 
Sasa mke analala nje siku mbili na akirudi asiulizwe, hapo kuna ndoa kweli.
 
Kwa taarifa yako katika matukio ya kuuana kati ya mke na mume takwimu zinasema ngoma droo yaani 50/50. Au umesahau ya Kanumba
 
Nyie maudhi yenu nani anawapiga? Mmekazana wanawake wana maudhi as if nyie ni malaika[emoji134][emoji134]

Ni kukosa akili tu.

Muwe mnatii mamlaka iliyotoka mbinguni, mwanaume ni mamlaka iliyotoka mbinguni msipoiheshimu mtatandikwa tu kila siku maana mnaendeleza midomo
 
Kwanini ung'ang'anie kuwa na star wakati unajua you can't handle the pleasure πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kupenda vitonga kutawauwa
Mapenzi hayachagui aina ya mtu. Kama ni hivyo kwa nn Shishi aliolewa na mtu sio hadhi yake? Halafu hadhi ya Shishi ni mtu wa aina gani? Kila mtu anayempenda ndio hadhi yake. Kama alikubali kuvulia chupi ina maana wote wameridhika na hadhi walizonazo ndio maana wameenda mbele ya Shekhe kuunganishwa kuwa mwili mmoja
 
Wanawake bhna wepesi sana kusahau kipindi kile SHILOLE anampiga NUHMZIWANDA wanaume tulionekana mabwege kweli walkua ata hawaoni wanatuonea ila leo UCHEBENDE kaludisha heshima yetu et ooh wanaume wanyanyasaji KARIBU TANZANIA
Mpk Nuhu akatunga wimbo wa Jike Shupa. Sasa leo Jike Shupa kakutana na Kidume Shupavu povu linawatoka wanawake utadhani wamepigwa nchi nzima
 
Mimi nampongeza hadharani, amefanya kazi iliyotukuka ku restore order kwenye familia yake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ika nadhani sheria itafata mkondo wake, acha kupenda kupewa mwanaume.

πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Mimi mke wangu labda anizidi elimu ila kipato hawezi kunizidi kamwe.Akizingua sitampiga,siwezi kupiga mwanamke wala mtoto,ila kesho yake nitamrudisha alipokulia.
 
Umeambiwa unapotyoa talaka katika uislam ni kwamba mpaka mbingu zinatikisika. Uchebe hakutaka kutikisa mbingu na alikuwa na mapenzi ya kweli kwa mkewe aliamini atabadilika
Ujinga wake tu ,uchebe ni muislam sasa? Hivi anaujua uislam yule, aache kuchezea dini mjinga yule.
Mwanaume kabisa muislam mwenye dini anaweza kuoa mwanamke mwenye tatuu mwili mzima, anaetembea maungo yapo wazi tena akifatana nae kamshika na mkono kabisa huku akifurahi.

Hakika uchebe ni mpumbavu, kama atakuwa anajiita muislam na eti aliogopa kutoa talaka, mbona mengine hakuyaogopa na dini yake imeyaelekeza pia.
 
Kumbe hata nyie wanawake mnajua kama Shishi ni GUBEGUBE liloloshindikana?
 
Kama mnayajua haya. Basi na mtulie msilete story kwamba mwanamke akikuzid kipato na ustaa siijui nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…