Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

kuachana na mwanaume mwenye hela halaf sio bahili kazi ngumu aisee uende kwingine ukatesekee
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Lakin ni kheri utafute zako tu
Nadhani tumeelewana sasa, kumpenda humpendi ila hela zake unazipenda. Unalalamika ananuka kwapa ila upo tu!!!🀣🀣🀣🀣🀣
 
Ngoswe penzi kitovu cha uzembe! Hapo mbwa kala mbwa 🀣🀣🀣
 
Kama ni kiumbe dhaifu asifanye upuuzi. Kuna ugumu gani wa mtu kujiheshimu ukishakuwa mke wa mtu.?
Mwanaume kama ana kulisha, kukuvisha na kukujali kuna lipi ambalo utasema anakuonea. Yani mtu akuthamini kisha umletee upimbi? Akuache tu kizembe....Mke sio hawara!
 
Mmh sasa upumbavu sio wa mwanamke tu , hata wanaume pia wanawafanyia wenzi wao upumbavu mwingi tu. Nani anawapiga ? Swala sio kufanya ama kutofanya upumbavu (huo ni utashi wa mtu binafsi ) ila Pale mwanaume anapo tumia uwanaume wake kwakua yeye ananguvu na kumpiga mwanamke hadi kumjeruhi au kumuua hapo sio sawa na huo ndio upumbavu zaid kuliko huo upambavu anao dai kufanyiwa.

kama unamlisha, kumvisha na kumjali na haonyeshi appreciation juu ya hayo yote, unatakiwa ujue kuwa hakupendi na huyo sio mtu sahihi kwao (life patner)hakuna haja ya kuendelea kumng'ang'ania mwache aende zake kwani hata ukimpiga hakuna zuri litazaliwa zaid ya shida zaid.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…