Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nadhani tumeelewana sasa, kumpenda humpendi ila hela zake unazipenda. Unalalamika ananuka kwapa ila upo tu!!!π€£π€£π€£π€£π€£kuachana na mwanaume mwenye hela halaf sio bahili kazi ngumu aisee uende kwingine ukatesekee
ππππππ
Lakin ni kheri utafute zako tu