Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Acha kushadaida ujinga wewe.

JANAMKE lenye domo domo lazima likung'utwe. Tena lidundwe kweli kweli!

Bila hivo wanawake wote tutakua na mamidomo kama Wangari Maathai au Khantwe.
Kuniparamia huko vipi tena?

Hayo ni ya kwako Mkuu kama unahisi kipigo ni dawa basi kheri. πŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈπŸšΆβ€β™€οΈ
 
Aiseeee kweli ni hatari ,siku mbili halali ndani?
 
Hahahhhahhahha wakurya bhana
 
Huyo Uchebe nae hajui kupiga.

Unapigaje mtu anakuwa na nguvu za kutamba kwenye media.

Alitakiwa apigwe alale ndani mwezi mzima.
 

Hivyo kwa upande wako kipigo ndo suluhisho cha matatizo? lol

Wacheni kunyanyasa wanawake nyiee.

Akikukosea kama huna njia nyingine ya kupata suluhu ni bora umuache aende na si kipigo.
 
Semea kwamba ni wazi hakukua nandoa plus kulelewa .
Tutaamini vipi? Mwenzie Shilole ana ushahidi na yeye mwenyewe Uchebe kakiri kumpiga. Bado niko palepale hakuna kosa linalohalalisha kipigo cha namna hiyo....kwanza mpaka mtu anafikia hatua ya kulala nje ni wazi hakuna ndoa hapo
Nikuvalishe?? Nikulishe.??nikukaze??? Nikutunze nakukupa huduma kama mtoto??? Unafanya lolote kwa Pesa yangu, watoto wale kwa Jasho langu namengineyo mengi......

Alafu ulale nje ?? Unisaliti??? Hahahhaah Ukijua unalala, hamia hukohuko , Ukinisaliti hata km sijajua anza kua na mpango B , kwasababu hata kama ni baada ya mwaka ,miaka, Siku nikijua UTAONDOKA TU.. hamna namna.
 
Huyo Uchebe nae hajui kupiga.

Unapigaje mtu anakuwa na nguvu za kutamba kwenye media.

Alitakiwa apigwe alale ndani mwezi mzima.
Wanaume bana. πŸ˜”

Hivyo na wewe huwa unatoa kipigo kwa mkeo?
 
Shadeeya nakusalimu !

Pamoja na shida nyingi za wanawake lakini hatupaswi kuwapiga
Mie Alhamdulillah niko salama.

Yah!! Nadhani zipo njia nyingi za kutatua matatizo na suluhu ikapatikana na si kipigo.

Wanasemaga mtupige na upande wa khanga eti. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni bora kuachana kama mnaona mapenzi hayapo tena, ila kupigana big no
 
Na nyie mpunguze kupuyanga mwanamke siku 2 haupo ndani!!..
Mkono wa bwana lazima utamalaki kwenye mwili wako..😜
 
Mimi ni mvumilivu,lakini hawa wasanii kama sio kiki basi wapumbavu tu. Mkeo alale nje bila sababu ni wapi amelala,halafu mwanaume bado tu umo. Na nyie wanawake ukimchoka mwanaume mwambie ukweli tafuta njia nzuri ya kuachana kwa amani. Namna hiyo utalalamika unapochomwa na gunia mbili za mkaa kweli?
 

Hahahahaha kwa hiyo ulimpiga mwaka jana sio mwaka huu hahahaha

Wewe uchebe acha ujinga wewe Shilole hujampiga labda kapigwa na mtu mwingine! Kuonesha picha amepigwa sio ushahidi kuwa wewe ni ndio ummpiga!


Acha ujinga hata mwaka jana sio wewe uliempiga mwache ahangaike hana ushahidi...ungekuwa umempiga angeshitaki mwaka jana....
 
Na nyie mpunguze kupuyanga mwanamke siku 2 haupo ndani!!..
Mkono wa bwana lazima utamalaki kwenye mwili wako..😜
Ukishaona mwanamke anayafanya yote hayo ujue ndoa ishamshinda.

Kumuacha kwa kheri kuna gharama gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…