Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Kutafuta Brand ni mchakato endelevu.
Kuna wengine walijiteka mwishoni wakatengeneza Brand zao.
Vita binafsi ugeuzwa bidhaa na alama za masoko.
 

Hahaaa ni kweli mkuu jeraha hata km lingekua la miaka 50 iliyopita bado ni evidence ya alichopitia shilole daah tuwaombee tu wapate suluhu
 
Shilole kasema 'Picha ni za matukio tofauti' so hata kama ni za mwaka jana hii inaingia kwenye hoja yake ya '... ni za matukio tofauti'

Hii ndoa ilikua imeisha siku ambayo mwanamke aliamua kujipiga picha kila alipopigwa. Kingine, wanawake mbona kuna dalili za mwanzo tu za mtu yukoje? Maana nakumbuka kabla ya ndoa waliwahi ripotiwa kupigana pia. So kuna tabia ni endelevu, tujifunze.
 
Kuna mwanamke anakushawishi umpige, usipompiga anakupiga yeye haya yalitokea hata kwa uchebe na shilole
Mmh!! Nadhani kwa hili ipo haja ya watu kabla ya kuanzisha mahusiano wawe na macho ya kuona mbali kwani hiyo si aina ya mahusiano ambayo yatakuwa yenye kudumu na kuwa maelewano mazuri kama vipigo vitachukua nafasi.

Lazima mwisho wa siku mmoja vipigo vitamchosha tu na kuanza kuwa nunda. Yaani liwalo na liwe.
 
Ukishaona mwanamke anayafanya yote hayo ujue ndoa ishamshinda.

Kumuacha kwa kheri kuna gharama gani?
Dada unajua utamu wa mapenzi wewe..??
Unajua huwa mnatuwekea kolezo limbwata..πŸ˜…
Sisi wanaume mbele ya mwanamke huwa ni watawala.. kwani huyo dada aliingia kwenye ndoa huku hajui misingi ya ndoa..?
Kwanza ilitakiwa mumchambe maana anawaaibisha!.

Kuacha sio kwepesi hivyo tu!… Watu huacha na baada hata ya miaka 5 hurudiana! Love inanguvu wacha kabisa!.. maswala ya kupotezeana muda ni ukenge mi niingie kwenye ndoa then kimtu kinarukaruka lzm nikituze kabla ya kukiacha..πŸ˜œπŸ˜‰
 
Ukiheshimu ndoa yako mbona maisha ya ndoa ni raha sana.
 
Hahaaa ni kweli mkuu jeraha hata km lingekua la miaka 50 iliyopita bado ni evidence ya alichopitia shilole daah tuwaombee tu wapate suluhu
Umeona Mkuu na si ajabu kila akilifikiria akili inampa ushawishi wa kulipiza.

Hakika nadhani kama wanaeza wayazungumze na suluhu ipatikanage.
 
Chama la wana..haliwezi kupaki home usiku mzima

Jr[emoji769]
 
Hili nalo litapita, tutasahau
 
Hahahaaa. lol.

Nadhani walikutana watu wa aina moja hapo hakukuwa na wa kumwongoza mwenzie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…