Uchebe: Sijampiga Shilole, picha ni za mwaka jana

Hakuna mtu anatoka tu huko na kuanza kukupiga tu without nothing lazima kuna reason jambo kubwa ni kila mtu a play part yake kuepuka ugonvi kwenye mahusiano.
Ni kweli Mkuu lakini hiyo yote inaendana na vipigo kutokuwepo.
 
Hahahaaa. lol.

Nadhani walikutana watu wa aina moja hapo hakukuwa na wa kumwongoza mwenzie.
Na hao wanaweza wasiachane sasa!.. mapenzi kiboko weye!..
Yani mtu hajalala ndani siku 2! Hata mi imeniuma sahivi ninahasira Hadi nataka kumeza simu..πŸ˜…
 
Hivyo kwa upande wako kipigo ndo suluhisho cha matatizo? lol

Wacheni kunyanyasa wanawake nyiee.

Akikukosea kama huna njia nyingine ya kupata suluhu ni bora umuache aende na si kipigo.
Nadhani utakuwa mgeni wa ndoa. Siku ukibahatika kuolewa,usilale siku mbili kwa mume wako kisha akikuuliza umelala wapi? ulikuwa wapi?, mpe majibu yasiyo eleweka ndio utajua kwanini shilole alipigwa makofi.
 
Na hao wanaweza wasiachane sasa!.. mapenzi kiboko weye!..
Yani mtu hajalala ndani siku 2! Hata mi imeniuma sahivi ninahasira Hadi nataka kumeza simu..πŸ˜…
Hahahaa. Kabisaa.

Mana akili ya yule mdada anaijuaga mwenyewe si ajabu akasema zile zilikuwa hasira tu. πŸ˜€
 
Nadhani utakuwa mgeni wa ndoa. Siku ukibahatika kuolewa,usilale siku mbili kwa mume wako kisha akikuuliza umelala wapi? ulikuwa wapi?, mpe ya majibu yasiyo eleweka ndio utajua kwanini shilole alipigwa makofi.
Hahahahaa. Sawa Jaji wa Jf.
 
Amuache akalelewe na nani?
Umario tabu sana mkuu.
Uchebe sio Marioo. Uchebe anamiliki gereji na hata Shilole alikutana na Uchebe akiwa kama fundi wake wa gari. Namjua Uchebe amewahi kuwa fundi wangu kipindi fulani na sio mtu mwenye dhiki kama mnavyosema hapa. Ni kwamba tu Shilole anajulikana zaidi yake.

Haya mambo ya ndani ya nyumba ni magumu sana na mapenzi ni suala la kisaikolojia. Maumivu ya kiakili au kisaikolojia ni makali sana yanazidi hata kipigo na ndio maana watu wanapata msongo wa mawazo na kuumwa sonona mpk kufikia kufa au kujiua.

Bahati mbaya sheria haina meno kwenye maumivu ya kisaikolojia sawa na maumivu ya kipigo. Chukulia kitendo cha Shilole kulala nje siku mbili kama mume unapata maumivu kiasi gani? Sasa ukikuta mtu aliyeumizwa kisaikolojia na hana uwezo wa kurudishia maumivu yale ya kisaikolojia kwa mwenza wake basi utoa hasira kwa kumpiga (ingawa ni jambo baya).

Kuna wimbo wa Banana Zorro alisema "Maumivu ya mapenzi ni zaidi ya msiba". Mapenzi yanaumiza sana na bora ukose hela unaweza kuvumilia lakini sio maumivu ya mapenzi.
 
Hahahaa. Kabisaa.

Mana akili ya yule mdada anaijuaga mwenyewe si ajabu akasema zile zilikuwa hasira tu. πŸ˜€
Jaribu nawe usilale ndani siku mbili bila taarifa halafu utaleta mrejesho jinsi ulivyokusanya nzengo ije iamue!
Labda jamaa awe anaasili ya malaika ila hata kama lzm akutembezee upako wa bwana.. Tena wapo wataalum wa vipigo ye hakupigi ngumi wala makofi ila wakati unapigana nae utaona Kama anapiga ngumi na makofi ila kajitazame vizuri mwili mzima una alama za kung'atwa..πŸ˜‚πŸ˜…
 
Vijana tuhache umarioo, tutafute mwanamke wa umri wetu ili tutafute wote na tuzeeke pa1, pia vijana tufanye kazi kwa bidii kuwa na kipato cha kuendesha maisha

Uchebe hacha umariooo, matokeo ya umarioo ndio hizi aibu umezipata, sasa hivi baba ako, mama ako, shangaz zako na ndugu zako washafahamu kwamba ulikua unalelewa (king'asti)
 
Ushawai ona wapi daladala ikawa BMWM.... Ahahaa

Afu daladala yenyewe used,kwa ruti za mbagara
 
Siezi fanya hivyo aisee.

Pia niseme msihalalishe kosa 100% huenda ni katika kujitetea tu kwa huyo mwanaume.
 
Kwa hiyo mwaka jana ndio alimchakaza hivyo [emoji15][emoji15]
 
Shadeeya hivi unajua kuwa nakupenda sana. Hope uko poa
 
Wote wangekuwa waelewa kama wewe ndoa nyingi zisingevunjika
 
Kumiliki biashara haimaanishi mtu sio Mario.
Ni sawa uone mdada anafanya kazi halafu ujiaminishe hadangi au hana sponsor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…