Oscar Wissa Senior Member Joined Sep 5, 2018 Posts 108 Reaction score 170 Oct 1, 2024 #1 Kadri tatizo la afya ya akili linavyoongezeka, na wachekeshaji nao wanaongezeka.
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,143 Reaction score 4,462 Oct 1, 2024 #2 Na vichaa ndio wanapenda kucheka
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Oct 1, 2024 #3 Na machawa wanajigaragaza kwenye vumbi kabisa😁
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Oct 1, 2024 #4 Shida na wachekaji wanaongezeka.
Palmoni JF-Expert Member Joined Jun 13, 2024 Posts 1,968 Reaction score 3,760 Oct 1, 2024 #6 Mad Max said: Shida na wachekaji wanaongezeka. Click to expand... Inapiga na kuchapa kotekote kwa kuwa wote ni wehu,,Sema tunatofutiana kiwango cha uwehu
Mad Max said: Shida na wachekaji wanaongezeka. Click to expand... Inapiga na kuchapa kotekote kwa kuwa wote ni wehu,,Sema tunatofutiana kiwango cha uwehu