Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
MMJJ, Naona unamuonea huyu jamaa. Kwani kuna kibaya kipi alichovaa? Tena nionavyo mimi kafanya na heshima kufanya vazi lake kuwa jeusi, dalili ya yeye mwenyewe kuomboleza.Nimeona hii picha ya msiba wa Juliet Mrina (pendo) na nimeona mwendelezo wa kile kinachoitwa kizazi kipya, kufika msibani kiganwe gangwe wakiamini labda ndivyo "wakubwa" wanavyofanya inapofika misiba. Siku hizi hata kanga, suti na nguo za heshima vijana hawataki kuvaa tena kwani "wanaomboleza kisasa" (whatever that means).
<!--ThumbEnd-->
Ndio "ukisasa" wenyewe huu, na ni nani huyo tunayemuiga?
Wewe unataka kila mtu avae suti na tai? Wengine wako kazini full time wanauza image hao, ndiyo kazi yao, sasa unawakataza wasivae according to kazi zao utawaweka wewe mjini?
Waseminari wanataka kutuletea principles zao za useminari sasa, mpaka kutuamulia twende msibani vipi. Huyo Jay angeweza kwenda much worse than that na wala nisingeshangaa.
unaamini vitu kirahisi sana na kujenga hoja kutokana navyo..LOL Miye nimeuliza tu kama ndio maombolezo ya kisasa, sehemu ya biashara na kujitangaza hey more power to them.
Usisahau kwamba siamini, bali najua.
Hata kama wewe mwenyewe hujui, hizo ni effects za useminari, amini usiamini. Ukiwa mseminari na kupitia tanuru la waseminari, ukiwiva ni vigumu sana ku allow liberality, unakuwa ushakunywa maji mengi sana ya useminari.
Siku zimeganda ndugu yanguMkjj...naomba kuuliza, hivi kwani siku zimeenda wapi?
Kiranga...kuna mambo ya proper attire, setting, na decorum. Wewe ungeona sawa kama mdada angekupigia ki sketi kifupi na stilleto na ki top kinachoonesha cleavage hapo kwenye huo msiba?
Kiranga...kuna mambo ya proper attire, setting, na decorum. Wewe ungeona sawa kama mdada angekupigia ki sketi kifupi na stilleto na ki top kinachoonesha cleavage hapo kwenye huo msiba?
Proper attire kwa nani? Hiyo proper attire kwa an English gentleman's standard inaweza isiwe practical bongo, au proper attire ya aborigine wa Papua New Guinea inaweza isiwe appropriate Cipriani Wall St.
Kama ulivyosema mwenyewe, kibongo fleva inawezekana hapo ndipo katinga proper yao, kasamehe kata *****, katinga black, hilo fuvu ni symbolism ya kifo, halafu kaweka heshima kalifunika fuvu kiasi, halafu kitambaa alichotumia chekundu kinabeba gravity ya situation, kwamba damu imeacha kutembea, mchezaji kapewa kadi nyekundu katoka nje ya mchezo. Yeye kama msanii utaona anaenda na symbolism.
Hilo pensi linaendana na joto la Dar.
Akikwambia hivyo utasemaje?