Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Haaahaa, Mzee Nyani inaonekana Watanzania mainstream huwajui, unaowajua ni idea tu inayoelea kichwani. Watanzania wa kawaida hawana luxury ya kuwa na attire, let alone ku discern kutoka katika "wardrobe" zao kipi ni proper.Mot times watu wanavaa what is practical if not what is available.It is very hard to try to be proper when you don't have much, not that Jay doesn't have much by Tanzanian standards.Proper attire kwa Watanzania....mainstream Tanzania.
Which brings me to another point.Jamani tunam judge Jay, tunajua circumstances za yeye kuja hapo kuaga mwili? Vipi kama alikuwa katika mihanjo yake tu, wala hakupanga kuwa hapo, au hata kama alipanga lakini hakuwa na access ya "proper attire"? Mnataka mtu asiage mwili kwa sababu kavaa pensi na fulana la fuvu?
Vipi kuhusu setting na decorum? Kama angekuwa anaenda kwenye sehemu za mastarehe sidhani kwamba ingekuwa issue (ingawa bado sioni kama alivyo vaa ni vibaya sana kulingana na sehemu na mazingira). Nimekuuliza swali kama ingekuwa mdada (let's say ni mcheza dansi) aliyevaa ki hoochie mama kwenye msiba bado ungeona sawa tu? Nyonyo karibu zote ziko nje..akiinama unaona goodies zake...na viatu kakuvalia heels za inchi sita...Kiranga...kweli ungeona sawa au basi tu unataka kuleta ligi huku ukijua kabisa kuna baadhi ya mambo yako in poor taste kulingana na occassion na mengineyo?
Tunarudi pale pale kwenye standards tofauti ku apply kwa watu tofauti. Huyu Jay si rais wala mbunge, wala si kiongozi wa kuchaguliwa kusema kwamba anarepresent values mainstream. Huyu ana represent values za hip hop ambazo zinajulikana kwa kuwa bohemian, counter cultural if not outright miscreant and rebellious, sasa mnataka mtu aji front na msuti au mikaputula ya silk wakati si zake?
Tofautisha issue ya mtu kuvaa indecently katika msiba (by indecently namaanisha nusu uchi or some such stunts) na huyu bwana ambaye ku deviate kwake kutoka convention za propriety za baadhi yetu haziruhusu. Wewe mwenyewe umesema the guy didn't even pull a kata k.
Nitasema acha visingizio vilivyo lame....hautayeyuka miguu ukivaa suruali....
Tatizo ni kwamba hatujui kwamba alitaka kuvaa pensi au alilazimika.
Ndiyo yale yale ya ile press conference ya George W. Bush, alivyoanza kum lambast muandishi wa habari kwa sababu tu kavaa sunglasses katika press conference ya rais, come to find out jamaa ni legally blind or something like that.
Au tunamlaumu Hasheem kashuka kwenye ndege na ndala huku hatujui jamaa anavaa viatu size 18 wide na ana matatizo kibao ya miguu.
Kabla ya ku pass judgement, tunajua situation yake?
Even Jesus the philosopher wouldn't be cool with that, and this ganging on Jay ni ufarisayo fulani hivi.
Unaweza kukuta wanaotinga misuti wana evil thoughts kichizi na hao masela ndio one love tupu.