Hapa naona kuna kitu yaani haiwezekani kabisa hadi leo mei 6 baado hakijaeleweka pia ukiangalia kwa upande mwingine kwann bodi ya mikopo ya elimu ya juu itoe tarehe ya mwisho wa kupokea maombi ya mikopo ifikapo mei31 hii ina maana kuwa baraza hawana mawasiliano mazuri na TCU ama???? Embu tuliangalie suala hii kwa umakini zaidi@MAN PC
Bado yanachakachuliwa ili yaonekane mazuri ndio katika zile juhudi za Sirikali kuboresha elimu kupitia uchakachuaji wa matokeo ya kidatu cha nne na sita.
Waliofanya mtihani mwaka huu wana kazi kubwa sana kwa sababu maana sasa hayo matokeo lazima yachakachuliwe kiaina ili yakitangazwa wote wawe wamefaulu ili ionekane serikali sikivu, walijiua Kidato cha Nne kwa hiyo lazima maafa yasitokee kidato cha Sita