Ucheleweshaji matokeo mpaka lini!?

Ucheleweshaji matokeo mpaka lini!?

Finder boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2012
Posts
608
Reaction score
150
wadau wa elimu nchini Tanzania wanahoji ni kwanini matokeo ya kidato cha sita yamechelewa?
 
vijana kueni wapole, necta wako busy na kufanya upya grading ya 4m4 results, then ndo wafanye grading 4m6. chezea necta ya nchi yetu.
 
Hapa naona kuna kitu yaani haiwezekani kabisa hadi leo mei 6 baado hakijaeleweka pia ukiangalia kwa upande mwingine kwann bodi ya mikopo ya elimu ya juu itoe tarehe ya mwisho wa kupokea maombi ya mikopo ifikapo mei31 hii ina maana kuwa baraza hawana mawasiliano mazuri na TCU ama???? Embu tuliangalie suala hii kwa umakini zaidi@MAN PC
 
TCU mwisho june, lazima wafanye conection na necta endapo yatachelewa xana, bt waliomaliza miaka ya nyuma wameanza application.
 
Ndiyo hii kusema haki kwa wote?,kwa kweli tuliozaliwa hapa bongo,tutafuten uraia hata Ethiopia!
 
Bado yanachakachuliwa ili yaonekane mazuri ndio katika zile juhudi za Sirikali kuboresha elimu kupitia uchakachuaji wa matokeo ya kidatu cha nne na sita.
 
Waliofanya mtihani mwaka huu wana kazi kubwa sana kwa sababu maana sasa hayo matokeo lazima yachakachuliwe kiaina ili yakitangazwa wote wawe wamefaulu ili ionekane serikali sikivu, walijiua Kidato cha Nne kwa hiyo lazima maafa yasitokee kidato cha Sita
 
Back
Top Bottom