Ucheleweshaji wa matokeo ya form 4!

Ucheleweshaji wa matokeo ya form 4!

Pigachini2015

Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
19
Reaction score
0
Jamani nini sababu ya matokeo haya kucheleweshwa! Maana watu hawaishi vizuri bali nikupata presha juu ya watoto wao na wanafunzi wenyewe! Mwenye lakusema aniambie ni lini?
 
Jamani nini sababu ya matokeo haya kucheleweshwa! Maana watu hawaishi vizuri bali nikupata presha juu ya watoto wao na wanafunzi wenyewe! Mwenye lakusema aniambie ni lini?

Nakukumbusha, kawaida matokeo yanatokaga mwezi wa pili, hivyo hayajachelewa rafiki. Kuwa na subira!!! Ni mwezi huu yatatoka kama ilivyokawaida
 
Jamani nini sababu ya matokeo haya kucheleweshwa! Maana watu hawaishi vizuri bali nikupata presha juu ya watoto wao na wanafunzi wenyewe! Mwenye lakusema aniambie ni lini?

Mzee vp unasafisha cheti nini? Endelea kuvuta subira
 
Hao wazazi na wanafunzi walikueleza kuwa wana presha, we kama nani, au una hisi tu?
Washauri waende kwa dk masawe ni mtaalamu wa hizo presha zote,
 
Hao wazazi na wanafunzi walikueleza kuwa wana presha, we kama nani, au una hisi tu?
Washauri waende kwa dk masawe ni mtaalamu wa hizo presha zote,

majibu yako so mazuri kwa mwenzako kalisiti ili kusafisha cheti.
 
Mitihani ya f6 j5 inaanza na kawaida kabla ya mitihani huwa tayari bt i don't know about this year(2011)
 
Kumbuka, matokeo haya inabidi yatoke a week before A-level final Exams which held on 7 if not 8 febr, coz kuna resiters kibao ambao wanategemea sitting chances from the O-Level Results.

Due to this leo ni tarehe 3...kesho ni jmosi sitegemei sana matokeo yaatangazwe weekend, pepa ya Form 6 inaanza tarehe 7 kama sio 8 (J4 au J5 next week)....So only 4 days remaing for Necta to publish this Late results.

Nawakilisha.
 
Jamani nini sababu ya matokeo haya kucheleweshwa! Maana watu hawaishi vizuri bali nikupata presha juu ya watoto wao na wanafunzi wenyewe! Mwenye lakusema aniambie ni lini?

Nadhani wiki ijayo ikiisha bila kutoka ndo itakuwa wakati mwaeaka wa kulalamika maana mara zote zinatoka mwanzo wa mwezi wa 2
 
Nimewapata mtihani wa 4m 6 ni tarehe 8 kwahyo hapo kuna jumatatu na jumanne!
 
Anyway, suala la matokeo linahitaji umakini mkubwa sana kutokana na idadi ya watahiniwa ambao wanaongezeka siku hadi siku hivyo kuongezeka kazi katika kufanya tathmini ya matokeo kitaifa. Si suala la kusahihisha na kutangaza tu bali kuna michakato mingi kabla ya kutangaza
 
Back
Top Bottom