Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

Ucheleweshaji wa miamala ulioletwa na tozo ni kero

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
Tozo la miamala limepitishwa na bunge, kwa unyonge tunaishi nalo. Kero ikiyopo ni ucheleweshwaji wa miamala mpaka wakate tozo lao.

Wengi tunatumia njia mbadala kutuma pesa ingawa zina usumbufu katika muda na usalama. Juzi nimepata dharura ilibidi nirushe pesa iwafikie walengwa. Mpaka leo hii muamala haujafika.

Kateni hiyo pesa mnayokata lakini kuchelewesha miamala ni usumbufu.
 
Hii Serikali yangu ni ya awamu ya sita! Na siyo ya tano. Nawasalimu kwa jina la Jamhuri!!! Kazi iendelee!
 
Ni sahihi na ni kawaida kwa Serikali iliyoingia madarakani bila kibali cha wananchi halafu wananchi wakaichekea, kuwaadhibu wananchi kwa madhila ya kila aina.
 
Pole I ana kwa tozo,lakini WANYONGE na sisi kijani tozo hazituhusu na hatukatwi.
 
Chukua ujiunge ccm. Wanaccm hatukatwi tozo
 
Dawa ni kucommit suicide tu na kuliachia linchi lao yatawale yanavyopenda. Better to join the silent masses than living with these looters.
 
Back
Top Bottom