KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

KERO Ucheleweshaji wa pesa za refund Mbeya University of Science and Technology (MUST)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Hii changamoto imetokea tangu mwaka 2022 ikatulazimu tuendelee kusubiri maana bado tulikuwa tunasoma , hivyo hela iliyokuwa imezidi ikawa inatumika kwa michango mingine kama direct cost na tuition fees hii haikupelekea hiyo hela iliyozidi kutokana na uongezewaji wa Ada kipindi ambacho Sisi tiyari tulikuwa tumeshalipa imalizike.

Changamoto kuu kuhusiana na hili tatizo ni kwamba tuliandika barua kama walivyoutuambia na kuattach document za kuverify ili uweze kurudishiwa hyo ela lakini mpaka Sasa imepita takribani miezi 5 tangu tutume barua ya kuomba refund hakuna feedback yoyote.

Itoshe kusema tunahitaji hiyo hela tuweze kujikwamua kutokana na kutokuwa na kazi kipindi hiki hii itatusaidia kumudu nahitaji mbalimbali yanayotukabili.
 
Back
Top Bottom