KERO Ucheleweshwaji wa majibu ya barua za kusitisha masomo vyuoni

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kero yangu ni kucheleweshewa majibu ya kusitisha mwaka wa masomo (postponement) hasa kwa vyuo Kama UDSM jambo linalofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya kucheleweshwa kwa taarifa inayotakiwa kufika bodi ya mkopo ili kusitisha mkopo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…