A
Anonymous
Guest
Kero yangu ni kucheleweshewa majibu ya kusitisha mwaka wa masomo (postponement) hasa kwa vyuo Kama UDSM jambo linalofanya baadhi ya wanafunzi kushindwa kuendelea na masomo kwa sababu ya kucheleweshwa kwa taarifa inayotakiwa kufika bodi ya mkopo ili kusitisha mkopo