KERO UCHELEWESHWAJI WA UTOAJI VYETI VYA TAALUMA IFM DAR ES SALAAM

KERO UCHELEWESHWAJI WA UTOAJI VYETI VYA TAALUMA IFM DAR ES SALAAM

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Naomba wakubwa mtusemee labda nyie watawasikiliza.

Kuna ucheleweshwaji wa utoaji vyeti vya taaluma usio na sababu ya msingi katika chuo cha usimamizi wa fedha IFM hii inatuwia vigumu tunaotoka mikoani.

Wiki ya nne sasa hatujapata vyeti na hatuna makazi maalumu ya kuishi tumelazimika kujihifadhi kwenye hostel za vyuo jirani kukwepa gharama za malazi lakini Bado pesa ya kujikimu hatuna na hatujui vyeti tutapata lini.

Naomba mtusemee Maana kuna fursa za kazi zinatupita kipindi hiki.
 
Back
Top Bottom