Uchepukaji makini

Uchepukaji makini

ndugufred

Senior Member
Joined
Dec 30, 2011
Posts
137
Reaction score
44
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari

Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari unachepuka au unaplan kuchepuka, lakini tayari umeshajicommit kwa mtu kwamba ye ndo wa maisha, na hautoenda kwa mungine. Unampenda, umeshafanya maamuzi ya kuwa naye yeye tu maisha yako yote yaliyobaki. Lakini ndani kabisa uvunguni mwa mtima wako kuna kisauti kinakuambia hakuna namna utaishi bila kuonja namna tofauti tofauti za miili ya wanadamu hawa watamu wa kike zinavyoweza kukupa ladha tofauti kunako sita kwa sita

Haisaidii kupoteza muda kila mara unajiwazia na unajichukia, kujiona una kilema, kwamba mwanaume mkamilifu ni yule ambaye hachepuki. Mimi na wanachama wenzio wa Chama cha Wachepukaji tunakuambia, hauko peke yako. Na sheria ya survival inanajulikana, wale wachache ambao wamezaliwa tofauti na walio wengi ndio vilema. Hivi kama binadamu asilimia 95 wote wana mikono miwili, we ukazaliwa na mitatu, nani ni kilema? Sawa, mkono wa tatu unakuongezea unafuu, lakini ukweli unabaki pale pale, wewe mwenye mikono mitatu ndiye kilema. Vivyo hivyo, kwa vile wanaume wengi wanachepuka, wachache ambao hawachepuki ndio vilema

Lakini bila shaka pamoja na hizo starehe zetu, wote tunakubaliana kuwa lazima ndoa zetu ziendelee kuwa na afya ili tutengeneze kizazi safi kijacho. Hivyo basi, kitabu hiki ni kwa wale wanaume, ambao wameamua kuukumbatia uanaume wao, na wanataka ndoa zao zibaki kuwa na afya. Waliochagua kuendelea kufaidi uumbaji wa Mungu katika sura tofauti tofauti, kwa kubofya vitufe vipya kila inapowezekana na kuyaangazia maisha yao kwa starehe hii asilia

Katika kitabu hiki, ntakupitisha kwenye scenarios tofauti tofauti ambazo inabidi kuzimudu ili usije ukaibomoa taasisi adhimu ya ndoa. Familia ni taasisi moja muhimu sana kwa kuzalisha binadamu bora wa kizazi kitachofata baada ya sisi. Familia ni kubwa sana kwa umuhimu kulinganisha na “nyege-mshindo” za muda mfupi.
Pakua kitabu, na ukisome kwa faida yako.
 
Attachments

Hii kali aisee. Yaani mabaharia mpaka mmetunga na kitabu kabisa.

Ukichepuka mwishowe utakamatwa tu hata uwe mjanja kama dabolooseveni James Bond. Ukiona hukamatwi labda mwenza wako ameamua kukupotezea tu naye anafanya yake kimya kimya lakini siyo kwa sababu eti uko mjanja sana...
20200705_082947.jpg
 
Hivi siku hizi kuna mtu ambae hachepuki kweli?
Maana watu wote ninaowafahamu wote wana michepuko, ila wengine unaweza usijue kwasababu wanachepuka kwa siri sana.
 
Kwakweli watu wengi wanachepuka tu. Yani hata umuumbe mwenzi wako mwenyewe,uweke kila kitu unachokipenda,kuna muda utafika utamchepuka tu

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Kuna aina mbili za wanadamu, wanaochepuka na wasiochepuka. Sio lengo la andiko hili kuelezea kwanini wanachepuka. Humu nimeelezea tu mbinu za kuendesha maisha ya kuchepuka kwa tahadhari

Kitabu hiki ni kwa ajili yako wewe ambaye umeshajijua kuwa upo kwenye kundi la wanaochepuka, na tayari unachepuka au unaplan kuchepuka, lakini tayari umeshajicommit kwa mtu kwamba ye ndo wa maisha, na hautoenda kwa mungine. Unampenda, umeshafanya maamuzi ya kuwa naye yeye tu maisha yako yote yaliyobaki. Lakini ndani kabisa uvunguni mwa mtima wako kuna kisauti kinakuambia hakuna namna utaishi bila kuonja namna tofauti tofauti za miili ya wanadamu hawa watamu wa kike zinavyoweza kukupa ladha tofauti kunako sita kwa sita

Haisaidii kupoteza muda kila mara unajiwazia na unajichukia, kujiona una kilema, kwamba mwanaume mkamilifu ni yule ambaye hachepuki. Mimi na wanachama wenzio wa Chama cha Wachepukaji tunakuambia, hauko peke yako. Na sheria ya survival inanajulikana, wale wachache ambao wamezaliwa tofauti na walio wengi ndio vilema. Hivi kama binadamu asilimia 95 wote wana mikono miwili, we ukazaliwa na mitatu, nani ni kilema? Sawa, mkono wa tatu unakuongezea unafuu, lakini ukweli unabaki pale pale, wewe mwenye mikono mitatu ndiye kilema. Vivyo hivyo, kwa vile wanaume wengi wanachepuka, wachache ambao hawachepuki ndio vilema

Lakini bila shaka pamoja na hizo starehe zetu, wote tunakubaliana kuwa lazima ndoa zetu ziendelee kuwa na afya ili tutengeneze kizazi safi kijacho. Hivyo basi, kitabu hiki ni kwa wale wanaume, ambao wameamua kuukumbatia uanaume wao, na wanataka ndoa zao zibaki kuwa na afya. Waliochagua kuendelea kufaidi uumbaji wa Mungu katika sura tofauti tofauti, kwa kubofya vitufe vipya kila inapowezekana na kuyaangazia maisha yao kwa starehe hii asilia

Katika kitabu hiki, ntakupitisha kwenye scenarios tofauti tofauti ambazo inabidi kuzimudu ili usije ukaibomoa taasisi adhimu ya ndoa. Familia ni taasisi moja muhimu sana kwa kuzalisha binadamu bora wa kizazi kitachofata baada ya sisi. Familia ni kubwa sana kwa umuhimu kulinganisha na “nyege-mshindo” za muda mfupi.
Pakua kitabu, na ukisome kwa faida yako.
Mkuu nakupa kongole, umekitendea haki kitabu hiki. Unasoma huchoki huku ukipata mbinu maridhawa za uchepukaji.
Wachepukaji msikose kusoma kitabu hiki.
 
Back
Top Bottom