Uchezeshwaji wa Biko una uwalakini

Uchezeshwaji wa Biko una uwalakini

kiletza

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
538
Reaction score
938
Huu mchezo wa Biko uchezeshwaji wake wanipa utata kidogo hauko wazi kama TATU MZUKA. Kura za Biko hufungwa siku moja kabla ya droo, na hata wakati kina rushwa kwenye TV, kinaendeshwa haraka sana,mahindi simu inaita mara moja kapokea, na hata zungumza yake ni kama tayari alijua yu mshindi. Wakati TATU MZUKA utaona kabisa jinsi Mussa Hussein anavyojaribu kumpata mshindi na asipopokea anatafutwa mwingine. Huu uendeshaji wa BIKO uko sawa kweli?
 
Michezo ya bahati nasibu inadumaza sana akili unakuta mtu hata kazi hafanyi inavyotakikana yeye akipata hela kidogo tu anatuma kisha anaenda kukaa miguu juu kusubiri aambiwe umeshinda Mill50,Mill50 wakati umetuma shilingi elfu tano?duniani hakuna kitu kama hiko so pliiz kijana tafuta kwa jasho lako upate halali yako uliyoihangaikia.
 
Umeona lalamishi lolote hapo ya kuwa mtu kacheza maranyingi na hakushinda?
Tatizo ni lack of openness kwenye uchezeshwaji..ni kama vile ni premeditated game,tofauti na uwazi ulio kwenye tatu mzuka
Michezo ya bahati nasibu inadumaza sana akili unakuta mtu hata kazi hafanyi inavyotakikana yeye akipata hela kidogo tu anatuma kisha anaenda kukaa miguu juu kusubiri aambiwe umeshinda Mill50,Mill50 wakati umetuma shilingi elfu tano?duniani hakuna kitu kama hiko so pliiz kijana tafuta kwa jasho lako upate halali yako uliyoihangaikia.
 
mi huwa nashangazwa na wale wanaopigiwa simu na kajala kuwa wameshinda. yaani sauti zao hazionyeshi mzuka wowote ha ha ha hah kuna walakini hapa.
 
IMG-20171219-WA0000.jpg
 
Michezo ya bahati nasibu inadumaza sana akili unakuta mtu hata kazi hafanyi inavyotakikana yeye akipata hela kidogo tu anatuma kisha anaenda kukaa miguu juu kusubiri aambiwe umeshinda Mill50,Mill50 wakati umetuma shilingi elfu tano?duniani hakuna kitu kama hiko so pliiz kijana tafuta kwa jasho lako upate halali yako uliyoihangaikia.
Mbona mnatumia jina kufiicha ukweli?!

Semeni wazi kuwa hiyo ni kamali na sio bahati nasibu. Kamali ni laana na haina msaada wowote nashangaa serikali inazoacha zinashamiri.
 
Huu mchezo wa Biko uchezeshwaji wake wanipa utata kidogo hauko wazi kama TATU MZUKA. Kura za Biko hufungwa siku moja kabla ya droo, na hata wakati kina rushwa kwenye TV, kinaendeshwa haraka sana,mahindi simu inaita mara moja kapokea, na hata zungumza yake ni kama tayari alijua yu mshindi. Wakati TATU MZUKA utaona kabisa jinsi Mussa Hussein anavyojaribu kumpata mshindi na asipopokea anatafutwa mwingine. Huu uendeshaji wa BIKO uko sawa kweli?
Hakuna kitu kama mubashara pale... Nilisha jaribu mara kadhaa kupiga zile namba za simu zikawa zinapatikana wakati wakina mpoki wakiwa wanaongea nao.. Hii inamaanisha wanatulaghai.. Kuna yaliyo jificha.

Pia ukitaka kujua... Hakuna siku wamempigia simu mshinda akawa hapatikani...

Wizi mtupu!
 
Biko kuna uhuni flan wanafanya hawa jamaaa!mamlaka km tra,financial intelligence unit walitakiwa washachukua hatua
 
Back
Top Bottom