kiletza
JF-Expert Member
- Aug 14, 2013
- 538
- 938
Huu mchezo wa Biko uchezeshwaji wake wanipa utata kidogo hauko wazi kama TATU MZUKA. Kura za Biko hufungwa siku moja kabla ya droo, na hata wakati kina rushwa kwenye TV, kinaendeshwa haraka sana,mahindi simu inaita mara moja kapokea, na hata zungumza yake ni kama tayari alijua yu mshindi. Wakati TATU MZUKA utaona kabisa jinsi Mussa Hussein anavyojaribu kumpata mshindi na asipopokea anatafutwa mwingine. Huu uendeshaji wa BIKO uko sawa kweli?