Umeona lalamishi lolote hapo ya kuwa mtu kacheza maranyingi na hakushinda?Michezo ya bahati nasibu inadumaza sana akili unakuta mtu hata kazi hafanyi inavyotakikana yeye akipata hela kidogo tu anatuma kisha anaenda kukaa miguu juu kusubiri aambiwe umeshinda Mill50,Mill50 wakati umetuma shilingi elfu tano?duniani hakuna kitu kama hiko so pliiz kijana tafuta kwa jasho lako upate halali yako uliyoihangaikia.
Michezo ya bahati nasibu inadumaza sana akili unakuta mtu hata kazi hafanyi inavyotakikana yeye akipata hela kidogo tu anatuma kisha anaenda kukaa miguu juu kusubiri aambiwe umeshinda Mill50,Mill50 wakati umetuma shilingi elfu tano?duniani hakuna kitu kama hiko so pliiz kijana tafuta kwa jasho lako upate halali yako uliyoihangaikia.
Mbona mnatumia jina kufiicha ukweli?!Michezo ya bahati nasibu inadumaza sana akili unakuta mtu hata kazi hafanyi inavyotakikana yeye akipata hela kidogo tu anatuma kisha anaenda kukaa miguu juu kusubiri aambiwe umeshinda Mill50,Mill50 wakati umetuma shilingi elfu tano?duniani hakuna kitu kama hiko so pliiz kijana tafuta kwa jasho lako upate halali yako uliyoihangaikia.
Hakuna kitu kama mubashara pale... Nilisha jaribu mara kadhaa kupiga zile namba za simu zikawa zinapatikana wakati wakina mpoki wakiwa wanaongea nao.. Hii inamaanisha wanatulaghai.. Kuna yaliyo jificha.Huu mchezo wa Biko uchezeshwaji wake wanipa utata kidogo hauko wazi kama TATU MZUKA. Kura za Biko hufungwa siku moja kabla ya droo, na hata wakati kina rushwa kwenye TV, kinaendeshwa haraka sana,mahindi simu inaita mara moja kapokea, na hata zungumza yake ni kama tayari alijua yu mshindi. Wakati TATU MZUKA utaona kabisa jinsi Mussa Hussein anavyojaribu kumpata mshindi na asipopokea anatafutwa mwingine. Huu uendeshaji wa BIKO uko sawa kweli?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] uko insta kuna viji mambo,,ntajaribu kupachungulia ikifka mwakan