Uchi ni nini?

Wanajamvi eh! Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je nitakuwa bado nipo uchi?

Hivi ni nini hasa uchi?
asili ya afrika ni kutembea uchi, huo ndo utamaduni wetu. na kaushanga kidogo, baadae tukaanza kuvaa ngozi sehemu za siri
 
Sehemu yoyote ambayo inajulikana inahitajika kusitiriwa kiundani sipositiriwa tunaita uchi
 
Kuna watu hawako hawajui uchi,
Maana umeshaonwa na. Mamia ya watu jumlisha ma Monds wa whatup na telegram....
Nguo za sasa hiv kuna watu wanatamani wazivue kabisa yani
Jaman tutuze na tufiche nyuchi zetu
 
Wakurya wanasema

'mama robhi hebu niretee uchi wa moto haraka'

Yani kama wewe si mwenzao utaona aibu wakati mwenzio anaomba UJI WA MOTO baada ya kutoka kuchunga mbuzi
 
Wanajamvi eh!

Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je, nitakuwa bado nipo uchi?

Hivi ni nini hasa uchi?
Hakuna uchi duniani

Be right back
 
Katika islamic,uchii wa mwanaume unaazazia kwenye kitovyu hadi kwenye gongosho za magoti,wa mwanamke ni mwili mzima isipo kuwa uso na viganjaa vya mikono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…