Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
- Thread starter
- #21
kuonekana ndiyo inakuwa uchi!?Viungo vya siri vinapoonekana hadharani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuonekana ndiyo inakuwa uchi!?Viungo vya siri vinapoonekana hadharani.
Tupu ya mtu au mnyamame mwenyew najiuliza.
kwa hyo tupu ndiyo uchi?
asili ya afrika ni kutembea uchi, huo ndo utamaduni wetu. na kaushanga kidogo, baadae tukaanza kuvaa ngozi sehemu za siriWanajamvi eh! Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je nitakuwa bado nipo uchi?
Hivi ni nini hasa uchi?
una maana kutovaa nguo au kujifunika sehem muhm?
Kumbe kutumia Neno asali kuwe na mipaka 😂Kule Dodoma uchi ni asali!
😂😂Huku Bunda uchi ni Uji .
Sasa kure Tarime utawasikia wakiagiza "we mama reta uchi wa moto hapa"Huku Bunda uchi ni Uji .
Nikufunulie?nifafanulie
Tafsiri sahihi ya uchi ni uchi wa mbuziWanajamvi eh!
Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je, nitakuwa bado nipo uchi?
Hivi ni nini hasa uchi?
Sasa kure Tarime utawasikia wakiagiza "we mama reta uchi wa moto hapa"
Kwa nn hasa mwanamke chupi ikionekana anaambiwa yupo uchi?Uchi ni utupu
Hakuna uchi dunianiWanajamvi eh!
Swali langu naomba kujibiwa hivi nikivaa bukta bila ya shati nitakuwa uchi? Au shati pasipo kuvaa bukta? Nikivaa nguo mwili mzima je, nitakuwa bado nipo uchi?
Hivi ni nini hasa uchi?
Na kule Tanga kwa wengine uchi ni asaliHuku Bunda uchi ni Uji .