Hii ni awamu ya 6, na siyo sehemu ya mwisho ya awamu ya tano.Lakini katika sehemu ya mwisho ya awamu ta tano ambayo inaendeshwa na rais aliyerithi
Hii ni awamu ya 6, na siyo sehemu ya mwisho ya awamu ya tano.
Samia hajarithi kiti amechaguliwa na matakwa na nguvu ya kikatiba.
Kinachorithiwa ni mamlaka ya kifalme/kimalkia ama kichifu.
Mungu Tusamehe Afrika kwa kweliNdivyo umeambiwa uchief ni uchawi?
Bwa mdogo BwasheeUchifu ulifutwa lini?
Zile ni siasa tu, uchifu haujawahi kufutwa!Bwa mdogo Bwashee
Uchifu ulifutwa na mtoto wa chifu Burito wa Uzanaki aitwaye Julius Nyerere na machifu wenye nguvu Kama Fundikira na Humbi Ziota wakapewa uwaziri
Acha kujifanya unajua kila kitu kumbe mweupeeee
Nimeupenda uchifu wa kwenye barUchifu mbona upo ila sio wa ki madaraka kama unavo sema. Ni watu na mila zao. Hata ukiwa na hela wenzako bar wata kupa uchief
Hii ni awamu ya 6, na siyo sehemu ya mwisho ya awamu ya tano.
Samia hajarithi kiti amechaguliwa na matakwa na nguvu ya kikatiba.
Kinachorithiwa ni mamlaka ya kifalme/kimalkia ama kichifu.
Awamu ni mtu siyo mihula ya uchaguzi. Ndiyo maana Zanzibar wako awamu ya 8Wanalazimisha tu ni awamu ya tano. Awaamu hubadilika kwa uchaguzi yeye karirhi anaendeleza awamu ya tano siyo ya sita
[emoji23][emoji23][emoji23]nimechekaMungu Tusamehe Afrika kwa kweli
Rais hajasoma hii sheria? Au ndiyo tunarejesha chiefdom baada ya miaka 50 na ushee?Abolition of chiefdom in Tanzania.
Act no 53 of 1969.