Uchifu sasa unatambulika rasmi kama sehemu ya uongozi Kiserikali?

Hii ni awamu ya 6, na siyo sehemu ya mwisho ya awamu ya tano.

Samia hajarithi kiti amechaguliwa na matakwa na nguvu ya kikatiba.

Kinachorithiwa ni mamlaka ya kifalme/kimalkia ama kichifu.
Huyu ni Rais wa 6.Hiyo ndiyo heshima.
Habari ya awamu ni ufinyu wakufikiri tu,huyo Magufuli angefariki siku ya pili 2015 baada yakuapishwa mngesema Rais wa awamu ya ngapi kama miaka mitano hangemaliza kipindi cha kwanza.
Rais wa Kwanza Kibajaji.
Rais wa Pili Msukuma. Nk
Awamu awamu ni ushamba kubishana,hata katika haisemi Mimi ninaapa kuwa Rais was awamu ya sita
 
imepita awamu nne hatujaona marais wakijangaika na machifu na uchifu. Lakini katika sehemu ya mwisho ya awamu ta tano ambayo inaendeshwa na Rais aliyerithi baada ya aliyechaguliwa kufariki naona kumeanza kampeni na juhudi kubwa za kuutambua na kuurasimisha uchifu kama sehemu ya uongozi wa nchi hii na ametamka kuwa Serikali yake it
WAPINZANI wa Rais SSH hamna hoja kwa kuwa Mama anaupiga mwingi , mumeishia kuchukua NON ISSUES na kuzifanya kuwa ndiyo UKOSIAJI. Kimsingi Uchifu wenye AUTHORITY ulifutwa wakati wa Nyerere. Ila bado makabila yanawaheshimu Machifu katika mambo ya kimila. Na hakuna kabila lisilo na Mila. Pili Rais Samia siyo wa kwanza kusimikwa Uchifu wa makabila mbalimbali. Angalia hapa Mbowe, Mnyika na Lissu

Screenshot_20220123-202217.png

Screenshot_20220123-202247.png

Screenshot_20220123-202140.png
 
Uongozi wa kikabila na kimila wa kichifu ulifutwa enzi za baba wa taifa mwl Nyerere.

Zimepita awamu nne hatujaona marais wakijangaika na machifu na uchifu. Lakini katika sehemu ya mwisho ya awamu ta tano ambayo inaendeshwa na Rais aliyerithi baada ya aliyechaguliwa kufariki naona kumeanza kampeni na juhudi kubwa za kuutambua na kuurasimisha uchifu kama sehemu ya uongozi wa nchi hii na ametamka kuwa Serikali yake itashirikiana na machifu kana kwamba ni viongozi wanaotambulika kikatiba katika nchi hii. Kuna nini kwenye hii U turn?
Hofu ya kupoteza madaraka wanata patapa
 
Hakuna uongozi wa kiChifu kwa Serikali ya Tanzania..hizo ni mbwembwe na minjonjo ya wanasiasa...
 
Uongozi wa kikabila na kimila wa kichifu ulifutwa enzi za baba wa taifa mwl Nyerere.

Zimepita awamu nne hatujaona marais wakijangaika na machifu na uchifu. Lakini katika sehemu ya mwisho ya awamu ta tano ambayo inaendeshwa na Rais aliyerithi baada ya aliyechaguliwa kufariki naona kumeanza kampeni na juhudi kubwa za kuutambua na kuurasimisha uchifu kama sehemu ya uongozi wa nchi hii na ametamka kuwa Serikali yake itashirikiana na machifu kana kwamba ni viongozi wanaotambulika kikatiba katika nchi hii. Kuna nini kwenye hii U turn?
Hii ni kutokuheshimu sheria na kutaka kuleta migogoro tu kwa ukabila
 
Sukuma gang wengi Wana hasira Sana. Maana kila mahala na pahala wanaangukia pua. Walimtuma Ndugai aropoke halafu kaishia kutumbuliwa. Sasa wanarusha maneno mavhafu mitandaoni dhidi ya awamu ya 6.

Poleni sana sukuma gang
Kuna kundi linapotosha sana mitandaoni....
 
Back
Top Bottom