Habari wadau, nilikua naomba msaada kwa yoyote mwenye ufahamu wa taratibu za kupata kibali cha uchimbaji mchanga mkoa wa pwani wilaya ya mkuranga.Nina eneo la ekari 3 ambalo linamchanga wa kutosha kwa mwenye ufahamu wa hii biashara pia naomba msaada please