wachimbajivisimavirefu
Member
- Aug 7, 2018
- 37
- 31
Kuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hiv
Watakuwa walipeleka mashine ambayo yenye uwezo mdogoKuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hivi imekaaje kwa uzoefu wako?
Kuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hiv
Watakuwa walipeleka mashine ambayo yenye uwezo mKuna mtu akichukua kampuni fulani wamchimbie kisima kijiji kimoja wilaya ya newala mkoani mtwara walitabika siku 6 hawapati maji wakaamua kukimbia hivi imekaaje kwa uzoefu wako?
Ungeweka kwenye Table ingekuwa nzuri zaidi. Easy to grasp and compare.
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:
ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA
Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000
Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000
Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000
Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000
Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000
Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000
Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000
Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 800,000
Mnachimba mpaka mita ngapi kabla ya kuamua hapa maji hakuna?

Nina mpango nichimbe kisima kwahiyo nina vitu vingi vyakukuuliza kwasababu nishasikia wilaya ya newala huwezi kupata majiWatakuwa walipeleka mashine ambayo yenye uwezo m
Taarifa kuhusu ugumu wa kupata maji Newala ulipata kutokana na uzoefu wa watu waliojaribu na kushindwa au kutokana na surveys. Inawezekana maji yapo lakini ni ya chumvi maana ni karibu na coast?Nina mpango nichimbe kisima kwahiyo nina vitu vingi vyakukuuliza kwasababu nishasikia wilaya ya newala huwezi kupata maji
Mkuu Maongezi hakuna?
Tunachimba visima virefu na vifupi mikoa yote:
ZIFUATAZO NI GHARAMA ZA UCHIMBAJI KILA MKOA
Dodoma -mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Arusha-mita moja tunachimba 120,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Kilimaniaro-mita moja tunachimba 130,000 na survey tunafanya kwa 600,000
Tanga-mita moja tunachimba 80,000 na survey tunafanya kwa 400,000
Morogoro-mita moja tunachimba 80,000,na survey tunafanya kwa 350,000
Pwani-mita moja tunachimba 70,000 na survey tunafanya kwa 250,000
Dares Salaam-mita moja tunachimba 65,000,na survey tunafanya kwa 250,000
Lindi-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Mtwara-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Iringa-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 400,000
Mbeya-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Singida-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 500,000
Tabora-mita moja tunachimba 100,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Rukwa-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 700,000
Kigoma-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Shinyanga-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 600,000
Kagera-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Mwanza-mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Mara-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 900,000
Manyara-mita moja tunachimba 130,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Njombe- mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 500,000
Katavi-mita moja tunachimba 150,000,na survey tunafanya kwa 800,000
Simiyu-mita moja tunachimba 140,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Geita -mita moja tunachimba 120,000,na survey tunafanya kwa 650,000
Ruvuma- tunachimba kwa 140,000 kwa mita na survey tunafanya kwa 800,000
Nikisikia watu ambao sijui taarifa hiyo waliipata wapi ila mwaka jana ndio nilishuhudia hio kampuni imechimba mpaka wakachemka hawakupata hata toneTaarifa kuhusu ugumu wa kupata maji Newala ulipata kutokana na uzoefu wa watu waliojaribu na kushindwa au kutokana na surveys. Inawezekana maji yapo lakini ni ya chumvi maana ni karibu na coast?