Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Wapi umetishiwa mkuu?

Naomba kujua kama umeiafiki kuwa ile ni hotuba halisi ya Mwalimu Nyerere yakuliaga taifa aliyoitoa mbele ya wa wazee wa Dar?

Jamaa wananitisha wanasema sichomoki, wanasema hotuba siju nini.
Ndiyo nami nasema vitisho vya nini?

Unaniuliza kuhusu mimi kuafiki hotuba halisi ya Mwalimu Nyerere?
Kwani vipi kuna mabadilko?
 
Jamaa wananitisha wanasema sichomoki, wanasema hotuba siju nini.
Ndiyo nami nasema vitisho vya nini?

Unaniuliza kuhusu mimi kuafiki hotuba halisi ya Mwalimu Nyerere?
Kwani vipi kuna mabadilko?

Hakuna wakukutisha mkuu, hapa tunatishana kwa hoja na kujibu matisho hayo kwa hoja vile vile vile!

Wafuasi wako walisema hawaiafiki wakaomba kama kuna Audio au video ya hiyo hotuba tuwape ili wajiridhishe zaidi!


Tusonge mbelee kuelimishana mkuu
 
Bw. Said unayo hotuba ya Nyerere wakati akiaga mwaka 1985 ambayo unadai ndani yake Nyerere hakuwa mkweli kuhusu Abdul Sykes?
 
kwani ni jambo baya kuwa kama mwanamke? mbona una dharau za ajabu hivyo. Kuwa mwanamke ni jambo baya? acha fikra za mfumo dume!

Mkuu msamehe huyu binti Zubeda huenda huko kwenye majaribio yake ya kisayansi ndiomaana anatoa maneno machafu hivi!
 
Darsa nzuri ingepatikana tape tungefahamu vitu vingi sana.

Nimewasiliana nao TBC kwa lengo la kupata hizo audio na vbideo, wamesema Jumatatu nifike ofisini kwao nikaichukue,

Tuvute subira, tutapata mpaka video!
 
kama kusemwa ukweli ni kudhalilisha,basi marehemu nyerere atakuwa amedhalilishwa
kuweka adabu mbele! hivi tuanze kupitia maamdiko humu nani kati yako na yangu aliyekosa adabu
Mara ngapi Mohamed Said amekukanya kwa maneno yako ya dharau na kejeli?
Eti tunakugeukia wewe!
Tunachotaka kwako ulete majina ya waasi waliosamehewa na nyerere,
kisha kupewa vyeo na ubalozi,kama ulivyosema wewe.
Ulisema utaleta majina.Leo siku ya ngapi tangu uahidi.
Tatizo lako sio mkweli,upo tayari kutetea hoja yako kwa uongo.
Nakushauri acha kulialia na kupiga mayowe mjadala umeutaka mwenyewe.
Ili usiwe muongo na mzushi,lete ushahidi wa hayo majina.
Vinginevyo omba radhi hapa jamvini,kwamba uliongopa.
Tutaendelea kukumbusha,tutaendelea kusubiri
Ndugu yangu nakuomba uweke adabu mbele tunapojadiliana hapa!

Mmemdhalilisha Mwalimu mkakwama na sasa mnageukia kwangu?

Tumia mda mwngi kurudia yale yote tuliyojadili tangu post ya kwanza yatakufunza na kupevuka kimwili kiakili na kiroho mkuu!
 
Last edited by a moderator:
hapana sio jambo baya kuwa mwanamke.
Amekufananisha nao ni kutokana na hulka zao za umbeya kutaka wasipitwe na kila jambo.
La saluni analitaka,la sokoni analitaka,la kisimani pia analitaka
Ametumia balagha
kwani ni jambo baya kuwa kama mwanamke? mbona una dharau za ajabu hivyo. Kuwa mwanamke ni jambo baya? acha fikra za mfumo dume!
 
ndugu yangu nakuomba uweke adabu mbele tunapojadiliana hapa!

Mmemdhalilisha mwalimu mkakwama na sasa mnageukia kwangu?

Tumia mda mwngi kurudia yale yote tuliyojadili tangu post ya kwanza yatakufunza na kupevuka kimwili kiakili na kiroho mkuu!

tuwekee ile hotuba tafadhali,tunaingojea tuunawirishe huu mnakasha na tuzid kuwapa darsa maridhawa..!
 

HATA NAMIMI NAMSHANGAA KIJANA YERICKO,NI YEYE MWENYEWE KATAKA CHAI,NA NDUGU YETU MOH SAID BILA KHIYANA WALA CHOYO AKAMPATIA,SASA IWEJE LEO YERICKO AJE KULALAMIKA YA KWAMBA ANAUNGUA??
KUNYWA TUH HII CHAI YERICKO,JIFUNZE KUSTAHIMILI MAPIGO KAMA VILE WENZAKO WANAVOSTAHIMILI NA KEJELI ZAKO.
KUNYWA CHAI TARATIIBU,...:tea:
 
Nimewasiliana nao TBC kwa lengo la kupata hizo audio na vbideo, wamesema Jumatatu nifike ofisini kwao nikaichukue,

Tuvute subira, tutapata mpaka video!

Bwana Nyerere wakati mwalimu hajaingia darasani au hayuko haifai wanafunzi kucheza ovyo na kupoteza muda wa masomo.
Huwa bora kama wenyewe wakajisomea.

Sasa wakati tunasubiri audio na video naona bora tujikumbushe TAA ilikuwaje mwaka 1950. Ilikuwa imelala au ilikuwa macho?

Hebu tuangalie hapa chini ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...'' anasemaje:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD] Having established the political committee, Abdulwahid settled down to write to all TAA branches in the territory in order to revitalise them.

A major issue facing Abdulwahid and the political committee was the status of Tanganyika as a mandate territory.

Abdulwahid engaged Earle Seaton, a lawyer from Bermuda based in Moshi, and attached him to the committee to advise them on constitutional law and decolonisation of mandate territories under foreign rule.

The United Nations Trusteeship Council had already sent its first visiting mission to Tanganyika in 1948; but not much was gained from this mission.

The TAA headquarters in Dar es Salaam under Dr Kyaruzi and Abdulwahid with the backing of the political committee was now rising from its deep slumber.

What was now required were serious issues to stimulate the minds of the young intellectuals.

The TAA leadership did not have to look far.

These issues came in the form of the Constitutional Development Committee set up by Governor Edward Twining and the Meru land evictions.

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Muogope Mungu wako kijana,

Huduma ya kufunguliwa tuliyoifanya bado tu haiijakuinhgia?

Ni vigumu sana kwako kubadilika kwakuwa hata uone video bado utabisha tu na kumwani Shehe Mohamed Said
 
Last edited by a moderator:
Hapana haja ya vitisho.
Nimo humu nasubiri,

Insha Allah.

nimekutisha wapi?
Wewe jibu jibu hoja za nguruvi3 kama alivyofanya kwenye uchanganuzi ndani ya hoja za mwanakijiji.

Eti nimekutisha huwa unatafuta sababu ya kukimbia hoja
 

Kitu nilichogundua ni kwamba kuna watu humu hawawezi kujisimamia.
Lazima wajishikize kwenye nguzo.
Yafaa kujisimamia.
 

mkuu ulishaambiwa nenda ukacheze chandimu na wenzio hapa si saizi yako. Hebu soma mara mbili ulicho'comment then pima na uzito wa thread hii inayotazamwa na watu zaidi ya 20000. Uangalie kama hupaswi kuwa kwenye chandimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…