Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Ni kweli Sideeq. Mwalimu alikua MUASISI na Rais wa KWANZA wa TANU sio MWASISI.
Rejea hotuba ya kuaga wazee wa Dar, nyerere anasema waziwazi kuwa hata jina TANU alilikuta limeshabuniwa, hivyo HAIWEZEKANI kwa yeye kuitwa muasisi/mwasisi.
 
Yericko Nyerere

Badala ya kusugua kichwa kujua mimi ni nani, naomba usugue kichwa chako na unijibu yale maswali yangu matano tafadhali. Kama la niambie tu "sitaki". Nitakua nishakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Zee zima hata akili huna, sasa kama TANU iliasisiwa na waislam watanzania tufanye nini? unataka watanzania wote tuslimu? huna maaana mjinga wewe!

Ulikuwa unalijuwa hilo? au ulijazwa ujinga kuwa madai ya Uhuru yalianzia na kuishia kwa nyerere?

Jee, kabla ya kumsoma Mohamed Said ulijuwa kuwa aliwekwa nyumbani kwa Abdulwahid Sykes, mtaa wa Stanley?
 
Ungekuwa Mkristo ningekwambia wewe ni kama Mtume Petro na Yesu siku ile anafikishwa kwa Pilato. Angalia Post namba 2716.

Hebu soma hiki kipande kidogo:

Rejea hotuba ya kuaga wazee wa Dar, nyerere anasema waziwazi kuwa hata jina TANU alilikuta limeshabuniwa, hivyo HAIWEZEKANI kwa yeye kuitwa muasisi/mwasisi.
 
Rejea hotuba ya kuaga wazee wa Dar, nyerere anasema waziwazi kuwa hata jina TANU alilikuta limeshabuniwa, hivyo HAIWEZEKANI kwa yeye kuitwa muasisi/mwasisi.

Ndugu yangu usiitafsiri hiyo hotuba kama gazeti la Kiu,

Maneno ya Mwalimu hapo kwenye hotuba yanatafsirika bila kuweka mawaa,

Tenganisha vitu viwili muhimu katika tafsiri hiyo mkuu:

1) Jina
2) Uwepo wa chama.

Ukifanikiwa hapo utapata kuona waasisi halisi wa chama ni kina nani?

Kadi namba 1 ndio ya muongoza uasisi wa chama!
 
wakati tunaendelea na huu mnakasha,naomba sasa kwa heshima na taadhima kumtamka rasmi kwamba, "yericko nyerere" si miongoni mwa wana familia ya marehem julius kambarage nyerere,

kuna utitiri mwingi wa maswali ambayo kwa namna moja ama nyingine wana ukumbi wamemuuliza ajiweke wazi kwamba yeye ni nani katika familia ya julius nyerere?amefeli kujitambulisha na kuamua kutojibu kwa kuhofia aibu,kama tunavojua julius kambarage nyerere alikuwa kiongozi wetu wa taifa hili,na mwenye sifa kem kem,ni fahari kwa yoyote yule leo kujitambulisha nae ya kuwa mimi fulani natokea ukoo wa nyerere na nina uhusiano nae wa namna fulani..!,ni fahari sio kwa kujitaftia umaarufu la hasha,ila kwa kufanya tuh jamii inayokuzunguka itambue uhalisia huo,
sas kwa yericko kushindwa kutamka na kujitambulisha yeye ni nani katika nasaba ya julius nyerere,si tuh anatuthibitishia ya kwamba hana uhusiano na familia hiyo bali pia anatuthibitishia ni jins gani alivyo limbuken na chakubimbi kwa kundandia dandia nasaba isiyo muhusu,
mwenzake ndugu moh said awali ya yote kajitambulisha,tumjue yeye ni nani,anatokea wapi,wazaz wake ni kina nani.,na anapatikana wapi,,yericko kashindwa kufanya hivyo,
aibu hii iwaendee wote wanaompa kichwa na kiburi,wote wanaomsifu na kumjaza ujinga,na kumchochea aje mbele ya jamii kutoa shutuma za kidini ambazo hazina mashiko.,
yericko "x",,tunakuomba sasa utafute identity nyingine unayonasibiana nayo.
 
Rejea hotuba ya kuaga wazee wa Dar, nyerere anasema waziwazi kuwa hata jina TANU alilikuta limeshabuniwa, hivyo HAIWEZEKANI kwa yeye kuitwa muasisi/mwasisi.
Kubuni jina sio Uasisi. Kubuni mnaweza mkawapa hata watu wengine wasio wanachama. Historia haibadilishwi wala kuandikwa upya. Mwalimu ni muasisi na Rais wa Kwanza wa TANU, Waziri Mkuu wa KWANZA Tanganyika, Rais wa KWANZA na pekee wa TANGANYIKA, Rais wa KWANZA wa JMT, Mwenyekiti wa KWANZA wa CCM,...
 
Yericko Nyerere iyo speech ya mkulu n baab kubwa, he was young lakini aliyejaa hekima tele kufanya maombi, kufunga na kutambika kunaonyesha jins alivowapa heshima kubwa hao wazee na Mungu akambariki sana…
 
Last edited by a moderator:
Yericko Nyerere

Badala ya kusugua kichwa kujua mimi ni nani, naomba usugue kichwa chako na unijibu yale maswali yangu matano tafadhali. Kama la niambie tu "sitaki". Nitakua nishakuelewa

Wala sihangaiki kukujua wewe ni nani kwakuwa haitaongeza wala kupunguza michango ya mimi na wewe hapa jukwaani!

Jambo jema ni kusonga mbele na mnakasha huu kwa elimu zaidi na ya mafaa kwa watanzania wote!
 
Last edited by a moderator:

Huo ndio ukweli ambao kamwe hautapindishwa kwa maslahi ya kikundu chochote nchini
 

Nashukuru kuona na kusikia kwa mara ya kwanza pamoja na matusi na dharau zenu zooote sasa leo unasema hivi:

"kama tunavojua julius kambarage nyerere alikuwa kiongozi wetu wa taifa hili,na mwenye sifa kem kem",

Hili ni jambo jema na ninashukuru lengo langu la kurejesha heshima ya wanaukombozi wetu limetimia!

Hakika kile kinywa kichafu kilichokuwa kinatoa maneno machafu sasa kinatoa maziwa na asali!

Thank you god! Thank you Bulito, Thank you Butiama!

Thank you mimi!
 
Mwenzetu Yericko Nyerere ni verfied user. Hatumii ID feki kama wewe na mimi. Ameanzisha thread ambayo imeshughulisha kwelikweli vichwa humu. Thread nzito na ndefu kama hii humu ni chache sana
 
Last edited by a moderator:
Sijasema kuwa kubuni ni kuasisi! Ila kusema kuwa HATA JINA NIMELIKUTA LIMESHABUNIWA kuna maanisha kuwa hata kitu cha mwisho kama jina vilikuwa tayari vimeshatayarishwa!

Kama mnataka kuwaenzi wapigania uhuru basi nyerere aitwe kwa jina linalomstahiki kiufupi lsiwe muasisi (senksi jokakuu kwa hotuba) maana yake kama ingeletwa na M.Said kungekuwa na ulau wa kila aina.
 
mwenzetu yericko nyerere ni verfied user. Hatumii id feki kama wewe na mimi. Ameanzisha thread ambayo imeshughulisha kwelikweli vichwa humu. Thread nzito na ndefu kama hii humu ni chache sana
exactly,kwa kua tunajua fika yeye ni verified user ndio kwa maana tunahoji uhalali wa hilo jina,ya kwamba ana uhusiano nae gani?
Lait angekuwa hajajiverify isingekua ni tatizo,tungemchukulia kawaida tuh kama wana ukumbi wengine,
sasa tunachoshangaa ni yeye kuverify hilo jina kisha kugoma kutuambia ana uhusiano gani na julius kambarage..!
Hapo ndipo kwenye swali letu kuu.
 
Mwenzetu Yericko Nyerere ni verfied user. Hatumii ID feki kama wewe na mimi. Ameanzisha thread ambayo imeshughulisha kwelikweli vichwa humu. Thread nzito na ndefu kama hii humu ni chache sana

Hilo kwake halina maana zaidi, kikubwa yeye ni kujua Yericko anauhusiano gani na Mwalimu Nyerere!

Inasikitisha kweli kama shule yote iliyotolewa na wadau katika mnakasha huu hajaambulia kitu sasa angalau anataka kuambulia kwa kunijua kiundani mimi!
 
Last edited by a moderator:

hakuna aliemtukana julius,hata kwenye maandiko ya moh said kama umeyasoma vema hakuna mahala ambapo julius katukwana,
kilichofanyika ni kuwekwa historia za wale waliofichwa..
Usijitoe ufaham,huna uhusiano wowote ule na julius kambarage nyerere
"​unaemvisha cheo cha utakatifu"
 

Tafuta fursa nyingine ya kunijua mkuu, kwa hapa si mahali pake,

Nitafute kwa njia nyingine tuonane ana kwa ana kisha utanijua na utaridhika mkuu!

Naishi Kigamboni,

Ofisi yangu ipo Mtaa wa Samora Posta,

Namba yangu ya simu +255715865544

Karibu sana ndugu jisikie huru!
 

Wewe ndiye Mohamed Said!? Mbona unamsemea? Mnaona fahari kwamba 'wazee wengi waliopigania uhuru bega kwa bega na Mwalimu walikua waumini wa dini ya kiislam', vip uhuru wa mara ya pili? Mbona hatuwaoni mkipigana bega kwa bega na watanzania wengine kama kweli mna historia hiyo? MS anaona fahari kuwazungumzia 'wazee wake' kwa sababu agenda kuu ni uislamu na sio utanzania. Naamini, hata baadhi ya wapigania uhuru kama babu yake MS, agenda yao ilikuwa uhuru na uislam, sio uhuru na utaifa ndo maana wakahitilafiana na mwalimu.

Nchini mwetu, hakujawahi kuwapo dhuluma kubwa kama ya watawala na 'wawekezaji'. Huko ndo tuelekeze nguvu, na kama kweli tuna wajukuu wa waasisi wa taifa hili, wajipambanue ktk hili. Wanyama wanaibiwa na madini yanaporwa mchana kweupe halafu wajukuu wa 'wazee wa dar' wapo kimya. Hii inaonyesha hata hao wazee mnaowatetea walikuwa na agenda nyingine tofauti na ya utaifa.
 
hilo kwake halina maana zaidi, kikubwa yeye ni kujua yericko anauhusiano gani na mwalimu nyerere!

Inasikitisha kweli kama shule yote iliyotolewa na wadau katika mnakasha huu hajaambulia kitu sasa angalau anataka kuambulia kwa kunijua kiundani mimi!

sasa kwani kuna tatizo gani?
Kabla ya kuanza kushusha nondo ndugu moh said kajitambulisha kwanza,japo ni verified user na anatoa darsa zito akaona ipo haja ya kuwafanya wana ukumbi wamjue yeye ni nani,,sasa wewe uzito unatoka wapi?
Makongoro nyerere ni mtoto wa nyerere wa kumzaa n,k.
Sasa wewe yericko nyerere ni mtoto wa nyerere wa ngapi?
Au ni babu yako?huna jibu..
Au ni mjomba yako?huna jibu..
Sasa una mamlaka gani kuja hapa kujiverify na jina lisilo kuhusu??
Shame on you..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…