Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar


sihitaji kukujua personally,,!

Ukumbi huu unahitaji kukujua wewe kiunaga ubaga kama vile mwenzio moh said alivokuja hapa huku akiwa amejiverify na kutuelezea kwa ufupi kuhusu yeye na uhalisia wake.
Kunieleza mimi pekee haitoshi,elezea ukumbi huu wajue,kama kuna walakini futa jina hilo,ongea na mods waondoe jina hilo kwenye bandiko la jina lako hapo mwishoni,kisha ujiskie aibu kwa hilo,na uombe radhi kwa wanaukumbi kwa uwongo wako wa kujihusisha na familia ya nyerere hali ya kuwa haipo ivo,
ama la ujuze ukumbi huu wewe una mahusiano gani na julius nyerere,,full stop..!
 
Nipe sifa angalau mbilitatu zinazomfanya mtu aitwe MUASISI. Za kwangu ni hizi:
-Unakuwepo na unashiriki kikamilifu kukianzisha kitu;
-Unatambuliwa na wenzako wote mnaoanzisha kitu hicho;
-Unakuwa ni kati ya WANACHAMA wa MWANZO kabisa;
-Unachagua au kuchaguliwa katika UONGOZI wa MWANZO kabisa;
Yote haya Mwalimu anayo kuihusu TANU. Mwalimu sio muasisi wa AA au TAA. Mwalimu ni muasisi wa taifa linaloitwa TANZANIA. Hivyo ndivyo ninavyoelewa mimi. Mwenzetu tuambie sifa za mtu kuwa kuwa muasisi.
 

Kitabu ninachoweza kuandika mimi ni kuhusiana na ufisadi wa maliasili unaofanyika nchini, chini ya mwamvuli wa chama chako. Hicho ndicho kinachonikereketa zaidi, ndicho kinachooweza kuwasaidia watoto na wajukuu wangu. Sina shida, hata kama walioleta uhuru ni waislam tu na wengine hawakushiriki.

La muhimu kwangu ni huo uhuru unanisaidia nini? Uhuru una maana gani kama maana yake ni kumuondoa mzungu na kumuweka mwafrika anayeshirikiana na wazungu(wawekezaji) kuninyonya? Kumbe ni heri niwe na mzungu-nitanyonywa mara moja, kuliko kunyonywa na wote wawili-mzungu na ndugu yangu mwenye ngozi nyeusi kama mimi.

Kama kweli nyie watu wa dar mna damu ya waasisi wa taifa hili, basi tushirikiane kupata uhuru wa mara ya 2. La sivyo, habari ya wazee wa dar ni porojo tu maana mazingira ya dar ya leo hayana tofauti na yalivyokuwa wakati wa ukoloni, ukilinganisha na mikoani. Leo, watu wa dar ni waoga kushiriki harakati kama za arusha na mbeya kwa sababu wako karibu na watawala-hivyo nao wanajiona watawala. Hata wazee wa dar walikuwa na priviledge kuliko wa mikoani. Hawa wa dar walikuwa wasaidizi wa mkoloni, waliajiriwa na mkoloni-leo eti ndio walioongoza mapambano!
 

Sitakujibu tena!
 
Mkuu THE BIG SHOW anzisha thread nyingine itakayojishughulisha na familia ya Mwl Nyerere na Yerico Nyerere hapa tunajadili upotoshaji wa historia ya Tanganyika uliofanywa na Mohamed Said usichanganye mambo.Vipi ule mkakati wenu kuzuia gesi isisfirishwe toka Mtwara kwenda Dar umefikia wapi ?.

 
Last edited by a moderator:
Funguka zaidi! Kama sivyo basi jitayarishe kuwa "punching bag" wa JF.
 

na katika kuthibitisha ya kwamba huyu yericko si mwana familia wa nyerere kama anavoshupalia na kujinasibbisha nae tumekuja kujiridhisha beyond our reasonable doubt..!

Katika sehemu nyingi anazotumia huduma zake kama m-pesa,tigo pesa n.k,hajamalizia kuandika jina lake hilo kama alivyothubutu kuandika hapa jukwaani,

kaishia tu kuandika yericko,na kuondoa surname yake,
basi tunamtaka afanye hivyo na huku na kisha kukiri waz waz ya kwamba amejisingizia kuwa yeye ni mwana familia wa mzee huyo.
 

Mkuu asante sana, umeongea maneno mazito na ya hekima sana,

Hakika yamenichoma sana mpaka najihisi kama sina maana ya kuwepo Tanzania
 
Ulikuwa unalijuwa hilo? au ulijazwa ujinga kuwa madai ya Uhuru yalianzia na kuishia kwa nyerere?

Jee, kabla ya kumsoma Mohamed Said ulijuwa kuwa aliwekwa nyumbani kwa Abdulwahid Sykes, mtaa wa Stanley?
Zomba, bahati mbaya sana huna hoja zidi ya kurudia upuuzi na uchochezi wa huyo mzee mwenzio muovu na muimba nyimbo za fitina humu jamvini. Mbona mwenyewe Mohamedi Saidi mzushi ameshindwa kuthibitisha hayo unayo mpamba nayo!
 

Hiyo TANU kabla ya kuanzishwa kulikuwa na chama gani na waasisi walikuwa ni kina nani?
 
..Hii habari kwamba 'wazee wa dar' waliuchukia ukoloni inatoka wapi? Hivi hawa wakoloni walikuja kwa ndege? Si walikuja kwa mashua, na watu wa pwani a.k.a mzizima, a.k.a dar waliwapokea kwa mikono miwili!? Ni wapi ktk historia tunaona watu wa pwani wakipambana na wakoloni? Au Mkwawa na Mirambo ngome zao zilikuwa bagamoyo? Hapa historia hairekebishwi, inapotoshwa, tena sana.

Bila mimi kupata majibu ya lini 'wazee wa dar' walianza kuuchukia ukoloni, habari na kitabu cha MS kinabakia kuwa hadithi za paka na panya.
 
Zomba, bahati mbaya sana huna hoja zidi ya kurudia upuuzi na uchochezi wa huyo mzee mwenzio muovu na muimba nyimbo za fitina humu jamvini. Mbona mwenyewe Mohamedi Saidi mzushi ameshindwa kuthibitisha hayo unayo mpamba nayo!

Wewe mwenye hoja mbona unashindwa kukubali kuwa nyerere aliwekwa na Abadulwahid Sykes hapo mtaa wa Stanley, au hilo nalo linauma kulikubali?

Jee, ulikuwa unamjuwa Mshume kabla ya kumsoma Mohamed Said?
 

Unaonesha hujamsoma kabisa Mohamed Said, ungepata jibu, hebu tulizana umsome ujuwe harakati zilianza lini na kina nani. Unaingia kutaka kubisha kitu ambacho huelewi. Kilichopindishwa ni nini?
 
Mkuu Sooth, watakuja hapa na kelele nyingine kwamba unamkoso raisi kwa sababu ya uislam wake! subiri kidogo tu.
 

Unakijuwa kisa cha Abushiri? au umepata kusikia kisa cha vita ya majimaji? hebu tumuombe Mohamed Said akupe historia fupi ya resistance ya pwani.
 
Watu wengine hamna haya hata chembe. Mnapora uchumi wa nchi yetu halafu mnasingizia wanasiasa. Mtu akilalamika mnamwita mdini. Acheni tabia mbaya.
 
Chandimu, nani kakutuma utusemee?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…