Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Kwani Mohamed Said alitaka ukubaliane nae? lakini leo hii jina la Mshume unalijuwa, au sio? Jina la Siso ushawahi kulisikia kabla ya kumsoma Mohamed Said? Dosa Aziz?

Zomba,

Siku zote namshukuru Allah kwa kuniwezesha kuandika historia hii.

Kwa kweli ingelipotea Waislam tungekuwa si lolote si chochote katika
nchi hii.

Angalau leo tunasema uhuru wa nchi hii tuliupigania sisi.

Rashid Sisso alikuwa mtu muhimu sana katika uhamsishaji umma.
Hebu mtazame hapa chini:

[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="width: 601"] One of the founding leaders of the Bantu Group was Rashid Sisso.

During the struggle Sisso came to be very close to Nyerere and Nyerere gave him the nickname ‘Officer’.

During rallies Sisso would stand right behind Nyerere, and when Nyerere wanted to emphasise a point in his speech he would stop to speak and turn back to Sisso and ask him, “Is it not so, Officer?” and Sisso would shout a peculiar cry into the microphone and the people would shout back and applaud.

Nyerere and Sisso’s act never failed to raise the morale of the audience.

Later when Nyerere became Prime Minister, Sisso had nothing useful to do for the Party and he turned himself into a court jester, hanging around at the TANU office to while away the time and amusing people with anecdotes from the struggle.

Whenever Nyerere came down from the Government House to the Party office at New Street with his motorcade, Sisso would go to him to amuse him with jokes or to show how close they were.

Sisso would approach him in an easy manner, shake hands and joke with him, while bodyguards and the crowd watched, wondering who that simple man was holding Nyerere’s hand and attention.

[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 601"] [h=1] [/h] [h=1][/h] [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Kuna kipi kilienda sawa wakati wa nyerere?
 
Abushiri wa Tanga? Majimaji ya Kusini (Ruvuma,Mtwara,Lindi na Iringa)? Nataka harakati za 'Mzizima' kupinga ujio wa wakoloni, dar-nyumbani kwa 'wazee wa dar'.

Kuna historia ndefu na nzuri sana ya harakati za ukombozi kabla ya vita kuu ya kwanza na yapili ya dunia!

Wazee hawa anaowalalamikia Mohamed Said kuwa hawakumbukwi michango yao katika uhuru ambao ni kweli kabisa walishiriki, kwa asili ni wahamiaji kutoka afrika ya kusini, Msumbiji, Malawi, Ethiopia, Kongo nk hapa mzizima,

Walikuwa vibaraka wa mjerumani na ndiomaana hawakuendesha harakati zozote za kupinga ukoloni chini ya Mjerumani,

Baada ya vita kuu ya pili ya dunia Muingereza aliingia na hawa vibaraka maslahi yao

Hapo ndio sasa wakaanza harakati za kudai uhuru!

Jambo la muhimu ili kuwajua kwa undani waitwao wazee wa kariakoo na kujua FILOSOFIA ya AA na TAA.

Je AA ilikuwa kwaajili ya kudai uhuru wa Tanganyika au ilikuwa kwa maslahi ya watwana wa Mzizima?

TAA je?

Kwanini baada ya Mwalimu kujiunga na TAA ilibadili filosofia na mwenendo mzima na kuwa ndicho chama tishio kwa Twaingi na si zile himaya imara za Chifu Adam Sapi, Chifu Marealle, Chifu Fundikila na wengine?

Historia ya nchi hii ukitaka kuifaidi uianza baada ya ujio wa Mjerumani, sio hii ya 1950 utapotosha watu!
 

Nitajie mafanikio ya Nyerere wakati utawala wake ambayo unayajua wewe!
 
Mzee Mohamed,

Muasisi ni nani kwa maoni yako. Hotuba ile ya Mwalimu iliyobandikwa hapo juu haikuwabagua wazee wako hawa. Aliwataja mara kadhaa mmojammoja na kundi lao. Umemalizia vizuri kuwa wote waliotajwa hapo ni WAASISI akiwemo Mwalimu ambaye kadi yake ya TANU ni namba moja.
 
Ubavu ninao, lakini sina agenda ovu kama ya mzee mwenzio MS! Maana unahitaji agenda ovu ili uandike kitabu cha kusadikisha yasiyo sadikika.

Hebu tupe nukuu moja ya kitabu cha Mohamed Said ambayo wewe huafikiani nayo.

Ubavu wa kuandika kitabu huna, ungeshaandika zamani, iliyobaki unatapatapa hata unachokipinga hukijuwi, ni kama bendera tu, yafata upepo.
 

Jifunze kutoka kwa Mohamed Said, hakuna haja ya kejeli naona nafsi yako imekusuta umefuta kejeli ulizokuwa umendika.
 

Ukichambua kwa undani hawa ndugu zetu hoja yao kuu ni kwa nini Nyerere anaitwa MUASISI?

Lakini moja kwa moja wanakubali kuwa Nyerere ni sehemu kuu ya waasisi na wanazidi kuafiki kuwa kadi namba moja ya TANU ni ya Nyerere na cha kufurahisha zaidi wanatuunga mkono tukiwaambie rais wa kwanza wa TANU alikuwa ni Nyerere,

Tatizo moja tu kwao, kwanini Nyerere aitwe muasisi???

Haahaaa sijui tuwasaidieje!
 
Kuwa na adabu kidogo. Mkimbizi kutoka Rwanda? Mohamed mwenyewe kasema ametoka Umanyema. So who is who?
 

WC,

Unajua wazee wangu hawakuwa na tatizo na Nyerere kama kiongozi wao.
Hilo halikuwako hata kidogo.

Heshima alokuwanayo Nyerere kwa wazee hawa hakuna kiongozi yeyote
atakaekuja ipata ingawa sijua mipango ya Allah.

Tatizo ni Nyerere mwenyewe.
Yeye hakutaka historia hii awe pamoja na wazee wangu.

Nyerere hakupenda atajike na wenzake.

Unasema Nyerere kawataja wazee wangu.
Isome na isikize ile hotuba.

Hivi kule ndiyo kuwaadhimisha wapigania uhuru wenzake wazalendo?

Jiulize ni nani alikuwa anatoa amri ya kukusanywa lile gazeti la Africa
Events lililomtaja Abdu Sykes na Waislam kama waasisi wa TANU na
waliopigania uhuru wa Tanganyika?

Nani aliyekuwa anazuia historia ya kweli isitafitiwe na kuandikwa?
Nani anaweza kuwa na uwezo wa kukamilisha mambo kama haya?

Vipi maisha yake yote alikuwa kimya kuhusu Abdulwahid Sykes?
Ikitajwa TANU anatokeza yeye peke yake?

Hivi mtu yoyote wa kawaida asingeweza kujiangalia na kuona kuwa
historia na sifa anazopachikwa yeye katika uasisi wa TANU zina kasoro?

Kadi no. 1 ni ya Nyerere.
Unajua ile kadi kaitoa na ina sahihi ya nani?

Sahihi ni ya Ally Kleist Sykes.
Imekuwaje ndugu wawili mtu na mdogo wake wote waasisi wa TANU?

Je hapahitaji maelezo?
Na angalia basi.

Wakati wajumbe wako ndani wanaasisi TANU mdogo wao Abbas Sykes
yuko nje anahudumia wajumbe wa mkutano.

Hiivi hapa hapahitaji maelezo?

Maneno ni mengi hatuwezi kuyamaliza yote.

Unaniuliza mimi nikupe jibu muasisi ni nani?

Sheikh Hassan bin Amir alikuwa akiulizwa swali la mtego alikuwa na majibu
haya, ''Soma ukisoma na ukaelewa wewe hutaniuliza mimi swali utakuwa jibu
ushalipata.''

WC soma historia ya uhuru wa Tanganyika na jinsi TANU ilivyoasisiwa jibu
utalipata Insha Allah.
 
Hayo ni matusi? Ama wewe sio mswahili?

Ndo maana hatuelewani kumbe. Kwa msomi, hayo ni matusi makubwa sana kama ulikua hujui.

Mtu kafanya utafiti, unasema "ukajifungia ukaandika kitabu". Kaka hayo sio maneno ya mtu msomi. Hayo ni maneno ya mtu ambaye hajenda shule kaka. Sasa unanilazimisha niamini kuwa shule ulienda kutalii. Please prove me otherwise ili Munaaqasha uendelee

Nimekuwekea bold hapo, nadhani utasoma kwa upeo mwengine

Ninawasilisha
 

I loove JF!
 
2005 ccm ilitumia ubaguzi kwa kumdhalilisha waziri mkuu mstaafu,salim ahmed salim kwa kusema ni muarabu,ccm hiyo hiyo 2012 imemteua mwarabu mweusi(msomali)abdurahamani kinana.kinana ni mmoja wa wamiliki wa kampuni yenye tender ndani ya bomba la gesi mtwara dar,ccm chini ya kikwete imempa kazi kinana kuendeleza na kulinda wizi wa rasilimali ya nchi.serikali ya ccm chini ya kikwete inatumia polisi kukandamiza demokrasia kwa kuzuia mikutano mingi ya chadema kwa kisingizio cha kutokuwa na polisi wa kutosha.lakini wanaposisitiza kuwa wataendelea na mikutano yao idadi kubwa ya polisi inasambazwa kwa kuzuia mikutano yao.
Sasa litakalotokea tanzania ni umwagaji mwingi wa damu hadi kufikia 2015 sababu serikari chafu ya ccm haisikilizi wananchi bali inawalinda wachache wao wezi wa mali ya taifa letu,tumeona polisi wakiuwa raia kuanzia arusha,tabora,morogoro,mbeya ,songea na hakuna aliyechukuliwa hatua yeyote kwa mauwaji hayo.wananchi sasa wameanza kujibu mapigo kwa kuua askari,na kuna taafifa kuwa sasa ni jino kwa jino raia wakiuwawa na polisi mchana raia watauwa polisi usiku sasa amani iko wapi kama si ubaguzi uaolelewa na serikari ya ccm?
Mod ukiifuta hii habari nitakuwa nairidisha kila kukicha kwa watu mbalimbali mpaka ujumbe huu uenezwe kwa wapenda amani kote tanzania
 
Abushiri wa Tanga? Majimaji ya Kusini (Ruvuma,Mtwara,Lindi na Iringa)? Nataka harakati za 'Mzizima' kupinga ujio wa wakoloni, dar-nyumbani kwa 'wazee wa dar'.

"Wazee wa Dar es Salaam, na baadaye wa nchi nzima, wakatuunga mkono, na kila nilipokwenda, watu wa kwanza walionielewa, walikuwa wazee."
 
Osama walimshika,wakamkata kichwa na kumzika baharini.

Sadam Husein walimfuata,wakamshika, na wakamnyonga kama mzoga.

Wateleban walifuatwa Kwao,wakakimbilia milimani na inchi amepewa kibaraka wa mfumo Kristo.

Mohamari Gadaffi na mijitambo yake yote mfumo kristo ulimtilia fitina,wakasaidia waasi,wakamshika na wakamnyongeleambali.

Rais wa chama chako Kikwete kila siku kiguu na njia kwenda kuomba misaada kwenye inchi za mfumo kristo.

Chezea mfumo kristo wewe?.... Je unalingine?
 
Kazi yangu mimi hapa ni kukata nyama ya shingo za watu hadi kwenye mfupa kwa kutumia kisu chenye kutu kali sana....nyambafu nyie. Oooh wazee wa Dar mara oooh waislaam wa Dar....what for?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…