Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

BibiNyerrecruiting.jpg

Mchambuzi,

Kwenye hii picha unawajua wa ngapi.

Itakuwa hapo ikulu ukutani na maelezo zaidi, kwanini usitujuze? Honestly, sijui sura yoyote hapo zaidi ya Mwalimu pengine na yule mama on his right ambae nadhani ni Bibi Titi;
 
He he hee nimeona mkuu, hapa kuna hoja nzuri sana ya kujadiliwa kwa kina, lakini inamajibu

Yericko,
Kama una jambo la kunufaisha ukumbi mathalan mkeka
au jamvi jipya au unataka kutuwekea deli zima la kahawa
na haluwa ya Sharif Gidemi....

Hatuondoki hapa.
 
Itakuwa hapo ikulu ukutani na maelezo zaidi, kwanini usitujuze? Honestly, sijui sura yoyote hapo zaidi ya Mwalimu pengine na yule mama on his right ambae nadhani ni Bibi Titi;

Mch.

Yupo Bhoke, Tambaza na Rupia.
 
Tukubali kwamba hoja zimemalizika. Tunarudia yaleyale. Niwashukuru mleta mada, Yericko Nyerere na Mzee Mohamed Said kwa kujisimamia mwenyewe na kujibu yale alooweza kujibu. Nimshukuru pia kwa kukiri makosa na mapungufu ya kitabu chake. Kwa anadai kitabu kinaendelea kutolewa bila shaka kuna atakalofanya kurekebisha baadhi ya hoja mle hasa ya UDINI aloompakazia Mwalimu na wazee wake.

Nchi yetu itabaki bila DINI kama Mungu, Allah mwenyewe asivyo nayo. WATANZANIA kila mtu ataendelea kuabudu anavyoona inafaa bila ya kumbugudhi mwenzake. Tunapoongelea Taifa letu tusiingize DINI, KABILA ingawa vitu hivi vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo.

Watanganyika wote kabisa walipigania uhuru wa nchi yao. Historia isingeweza kuwaandika wote. Ambaye hakuandikwa sio kwamba ilidhamiriwa iwe hivo na yeyote. Hamuwezi kukaa na watu mkaunda CHAMA au UMOJA kwa madhumuni na malengo flani halafu ukataka wenzako wote wasahaulike kwa sababu ya DINI zao ambazo uliwakuta nazo. Haiingii akilini hata kidogo.

Kwa vyovyote vile tumeparurana katika mada hii. Tusameheane. Tubaki WATANZANIA. Hakuna aliyeshinda wala kushindwa. Wengi tuliowajadili humu wametangulia mbele ya haki. Hawakuyaandika karibu yote tulioyajadili na kubishana humu. Hakuna anayejua kwa uhakika kama wangepewa nafasi kama hii tuliopata wangeandika nini. Tumewalisha na kutafunisha maneno mengi tu. Hawakutaka kuonekana wanajikweza kwa kuandika HISTORIA walioitengeneza wenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya Ikulu yanahusu nini saa hizi?
Mambo ya ikulu yanahusu kila kitu kwani mwalimu alituasa kwamba lile sio pango la maharamia, na alionyesha hivyo kwa vitendo katika uongozi wake; Mjadala wetu huu kama utaishia kujadili tu nani alikuwa na panki katika waasisi wa TANU, nani alikuwa anajua zaidi kizungu, kwanini musa au joni hawakuwemo katika orodha ya uasisi, mjadala huo utakuwa hauna maana; tujadili pia tulipo na tunaenda wapi, na ikulu ndio penye utakatifu katika hilo;
 
Itakuwa hapo ikulu ukutani na maelezo zaidi, kwanini usitujuze? Honestly, sijui sura yoyote hapo zaidi ya Mwalimu pengine na yule mama on his right ambae nadhani ni Bibi Titi;

Labda Mohamed Said anaweza kutusaidia mwenye suti ni John Rupia.
 
Zomba:

This is in regards to bandiko lako namba so and so ambalo nimekuambia nilishajadili kwa nama nyingine

Katika hoja mbili hizi, kipi hasa ambacho sijakijadili huko nyuma? Mimi ni mwanachama wa CCM na ningeweza kuwa Katibu wa tawi ninapoishi lakini kwa mfano - kuyumba kwa uongozi wa chama huko juu hakumaanishi kwamba na mimi nina mkono; Hii ndio hoja yangu ya msingi kwamba - Nyerere hakuwa na mahusiano yenye such influence na TAA, ni baadae ndio taratibu uwezo wake ukaanza kuonekana kama nilivyojadili na akazidi kupewa nafasi na hatimaye kupewa fursa ya kuandika vision, objectives za katiba ya TAA upya ili izae TANU na yeye sasa ndio awe Rais wake.

Labda una matatizo ya kusahau maandiko yako au una matatizo ya lugha unazotumia, zinakuchanganya au ulikuwa hujui tu na sasa unajidai kubadili kutoka "hakuwa na mahusiano nacho kabla ya 1954" mpaka hakuwa na "influence" baada ya kukuonesha kuwa alikuwa na uhusiano na TAA, si wakuijuwa tu bali alikuwa mtendaji ndani ya chama.

Unalikumbuka hili? kuna neno "influence" hapo au kuna neno "hakuwa na mahusiano nacho kabla ya 1954"?

Hii hapa ili ujikumbushe.

quote_icon.png
By Mchambuzi

Ni kweli, na binafsi sielewi kwanini ilitokea hivyo; Lakini kwa wale wenye upeo mdogo kama zomba, wanaweza kudai kwamba haya yalikuwa ni makosa ya Nyerere wakati TAA ilikuwa ni chombo ambacho Nyerere hakuwa na mahusiano nacho kabla ya 1954;

Unanruka hivi hivi kimasomaso?
 
Hoja ya msingi ni kwamba - Nyerere kama Nyerere alikuja kuwa na mahusiano ya moja kwa moja na harakati za kudai uhuru Tanganyika kitaasisi baada ya kuzaliwa kwa TANU, kabla ya kuzaliwa kwa TANU (before 1954), Nyerere was no body in Tanganyika politics; he proved himself as a leader and visionary baada ya mkutano mkuu wa Tabora ambapo kama mjumbe (among many other delegates), he gave a thrilling speech and set tone ya kugeuza TAA kuwa TANU; Kwa akili yako - kwanini TAA ile ile isingeendelea na Nyerere kupewa Urais wa TAA na badala yake wakaona ni muhimu igeuzwe kwanza kuwa TANU? Kubaini hili inahitaji elimu ya Kivukoni? au ya Mohamed Said?

Mch.

Maelezo ya hayo ulouliza ndiyo chanzo cha haya yote.
Nani kaanzisha TANU?

Hapo sasa ndiyo kitendawili.
Ukisema swali hili tumuulize Abdu Sykes...

Abdu ataanza na mwaka 1929 na historia ya
baba yake.

Ukisema umuulize Nyerere yeye hotuba yake
tumeisoma.

Tumia akili yako kupata wapi TANU ilianza.
 
Tukubali kwamba hoja zimemalizika. Tunarudia yaleyale. Niwashukuru mleta mada, Yericko Nyerere na Mzee Mohamed Said kwa kujisimamia mwenyewe na kujibu yale alooweza kujibu. Nimshukuru pia kwa kukiri makosa na mapungufu ya kitabu chake. Kwa anadai kitabu kinaendelea kutolewa bila shaka kuna atakalofanya kurekebisha baadhi ya hoja mle hasa ya UDINI aloompakazia Mwalimu na wazee wake.

Nchi yetu itabaki bila DINI kama Mungu, Allah mwenyewe asivyo nayo. WATANZANIA kila mtu ataendelea kuabudu anavyoona inafaa bila ya kumbugudhi mwenzake. Tunapoongelea Taifa letu tusiingize DINI, KABILA ingawa vitu hivi vilikuwepo, vipo na vitaendelea kuwepo.

Watanganyika wote kabisa walipigania uhuru wa nchi yao. Historia isingeweza kuwaandika wote. Ambaye hakuandikwa sio kwamba ilidhamiriwa iwe hivo na yeyote. Hamuwezi kukaa na watu mkaunda CHAMA au UMOJA kwa madhumuni na malengo flani halafu ukataka wenzako wote wasahaulike kwa sababu ya DINI zao ambazo uliwakuta nazo. Haiingii akilini hata kidogo.

Kwa vyovyote vile tumeparurana katika mada hii. Tusameheane. Tubaki WATANZANIA. Hakuna aliyeshinda wala kushindwa. Wengi tuliowajadili humu wametangulia mbele ya haki. Hawakuyaandika karibu yote tulioyajadili na kubishana humu. Hakuna anayejua kwa uhakika kama wangepewa nafasi kama hii tuliopata wangeandika nini. Tumewalisha na kutafunisha maneno mengi tu. Hawakutaka kuonekana wanajikweza kwa kuandika HISTORIA walioitengeneza wenyewe.

Tunasubiri tape na video clip ya Nyerere.
 
Asante sana,
 
Last edited by a moderator:
Tunasubiri tape na video clip ya Nyerere.
Tuwaombe TBC Taifa wairudie hotuba ile. Tuviombe pia na vyombo vinigine vya habari viichape hotuba. Watakuwa wameona tunavyohangaishana humu. Watusaidie.
 
Mchambuzi,

..wengi tumefundishwa kwamba Chief Marealle alikwenda UN na kupinga juhudi za wa-TGK kupata uhuru.

..sasa hebu soma hapa nukuu ya Nyerere akizungumzia hotuba ya Chief Marealle UN kama ilivyotolewa ktk gazeti la serikali Daily News.

kupata habari nzima nenda hapa:
http://dailynews.co.tz/home/?n=26254

cc😡Jasusi, Nguruvi3, Ritz, zomba, Mohamed Said

jokaKuu,'
Judith Listowell anasema Marealle alibadilisha msimamo wake. Alipofika UN badala ya kupinga TANU alisema Tanganyika inapaswa kupewa uhuru katika kipindi cha miaka 15. Ndiyo maana Julius alimsifia.
 
Mambo ya ikulu yanahusu kila kitu kwani mwalimu alituasa kwamba lile sio pango la maharamia, na alionyesha hivyo kwa vitendo katika uongozi wake; Mjadala wetu huu kama utaishia kujadili tu nani alikuwa na panki katika waasisi wa TANU, nani alikuwa anajua zaidi kizungu, kwanini musa au joni hawakuwemo katika orodha ya uasisi, mjadala huo utakuwa hauna maana; tujadili pia tulipo na tunaenda wapi, na ikulu ndio penye utakatifu katika hilo;

Unaingia kina kirefu usichokiweza.

jee, umewahi kukisikia kisa cha Kassim Hanga?
 
Tuwaombe TBC Taifa wairudie hotuba ile. Tuviombe pia na vyombo vinigine vya habari viichape hotuba. Watakuwa wameona tunavyohangaishana humu. Watusaidie.

WC,

''Into what dangers would you lead me Cassius,
That you would have me seek into myself,
That which is not in me...''

Brutus
Julius Caesar
 
Tunasubiri tape na video clip ya Nyerere.

Ritz,

Umemsikia WC?

Hebu msome hapa chini:

Tukubali kwamba hoja zimemalizika. Tunarudia yaleyale. Niwashukuru mleta mada, Yericko Nyerere na Mzee Mohamed Said kwa kujisimamia mwenyewe na kujibu yale alooweza kujibu. Nimshukuru pia kwa kukiri makosa na mapungufu ya kitabu chake. Kwa anadai kitabu kinaendelea kutolewa bila shaka kuna atakalofanya kurekebisha baadhi ya hoja mle hasa ya UDINI aloompakazia Mwalimu na wazee wake.

Wapi nimekiri makosa na upungufu wa kitabu changu?
Huu ndiyo ujanja wao wa kumaliza mnakasha?
 
Unaingia kina kirefu usichokiweza. jee, umewahi kukisikia kisa cha Kassim Hanga?

Sasa kama mjadala ni kuhusu mapungufu ya utawala wa awamu ya kwanza, yapo mengi tu na tunaweza anzisha uzi mwingine juu ya suala hilo;
 
Ritz,

Umemsikia WC?

Hebu msome hapa chini:

Tukubali kwamba hoja zimemalizika. Tunarudia yaleyale. Niwashukuru mleta mada, Yericko Nyerere na Mzee Mohamed Said kwa kujisimamia mwenyewe na kujibu yale alooweza kujibu. Nimshukuru pia kwa kukiri makosa na mapungufu ya kitabu chake. Kwa anadai kitabu kinaendelea kutolewa bila shaka kuna atakalofanya kurekebisha baadhi ya hoja mle hasa ya UDINI aloompakazia Mwalimu na wazee wake.

Wapi nimekiri makosa na upungufu wa kitabu changu?
Huu ndiyo ujanja wao wa kumaliza mnakasha?
Naomba nikuulize swali Mohamed Said, mnakasha huu umekuonyesha mapungufu ya kitabu chako au haujakusaidia kwa lolote?
 
Back
Top Bottom