Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

Mohamed Said, kitabu chako na maneno yako mengi hapa jamvini nikuwa unawawakilisha waislamu,

Naomba kujua, je unabaraka zao?


Zote zote...!

tumempa barka zetu zote,na tunamfuatilia hatua kwa hatua,yupo na anausimamia ukweli mtupu..!
 
You are the one who attacked me with your silly accusation! I repeat, leave me alone. I don't belive the stories and fantasies brought here by Mohamed.


If you dont belive,then whom one forced you to believe these stories?

log out..!
 

So,with that blah blah you expect us to believe you..!

find another story Zumbe mkuu..
 
Juzi niliwauliza humu: Halipo tatizo kwenye UISLAM na ELIMU? Sikupata jibu la maana. Lakini, tumewasaidia sana ndugu zetu hawa. Naamini Mzee Mohamed Said hayuko kama alivyokuwa mwaka 1998. Sio lazima akiri hivo hadharani. Atawanyong'onyesha wafuasi wake sugu akina zomba, Ritz, kichwakigumu,...
 
Last edited by a moderator:
ndo maana members wengi wa kiislam walioelimika hapa JF huwezi kuwaona kwenye hii thread, wanaona wanadhalilishwa na huyo mohame said,
 
mwanakijiji inabidi uelewe kuwa mfano wako wa Somalia kuifananisha na Tanzania si sahihi kabisa wasomali wana historia na mazingira tofauti sana issue hapa i mfukomo kristo kandamizi :confused2:
 
ndo maana members wengi wa kiislam walioelimika hapa JF huwezi kuwaona kwenye hii thread, wanaona wanadhalilishwa na huyo mohame said,

And vice versa is true..!

even educated christians you wont find them here opposing Mohamed Said's Darsa....
 

Wewe niite upendavyo kwangu hakuna tatizo hizo ni fikra zako.

Ninachopenda kutoka kwako ni michango yako humu jamvini dhidi ya Uislam na Waislam kejeli zako ni dhiaka zinawaamsha Waislam waliolala.
 
Last edited by a moderator:
ndo maana members wengi wa kiislam walioelimika hapa JF huwezi kuwaona kwenye hii thread, wanaona wanadhalilishwa na huyo mohame said,

Members ganai hao hebu tutajie.
 

Nakushauri hii post yako ungeipeleka Chit-Chat ungepata LIKE nyingi sana.
 
Last edited by a moderator:

Tatizo lipo

MoU iliyowa-favor wakristo na sisi tumeitaka, lakini mpaka leo tunapigwa chenga!

Huoni kama hilo ni tatizo?
 
Last edited by a moderator:
Usijifanye rais wa JF wanajamvi gani wa JF wamekutuma uwe msemaji wao jiongelee nafsi yako.
mie nampongeza sana Mag3 kwa kunisemea kwa hiyo wewe kama hupendi ni juu yako.
 
Wewe ni Futuhi wa JF endelea kutupa burudani wakati tunafanya munakasha wewe ni wakukusoma na kukupuuza kukujibu wewe ni kujidhalilisha nimejishusha sana kukujibu kauzu kama wewe.
Duh! mapovu ya nini?
 
mie nampongeza sana Mag3 kwa kunisemea kwa hiyo wewe kama hupendi ni juu yako.

Hilo mbona kwangu siyo tatizo JF kuna members zaidi ya laki moja ni mchanganyiko wa fikra tofauti bora angewataja majina siyo kuwa msemaji wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…