Uchochezi wa Mohamed Said na dhihaka kwa Wapigania Uhuru wa Tanganyika na Zanzibar

mkuu [URL="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=24272"]Nguruvi3[/URL] umeandika kwa hisia kali sana, niajabu huyu mohamed hatoelewa, umenikumbusha chuo (UCLAS) tulipata Suplimentary darasani kwetu watu 5 katika somo fulani, kati yetu waislam walikuwa watatu na walijua hata mimi ni muislam kwakuwa jina langu ni la kiislam (kawaida kwa majina kule tanga), basi jamaa mmoja akasema tumepata sup kwakuwa sisi ni waislam, nikamuuliza na hao wawili wakristo? akasema hao wamepata sup ili mfumo kristo usionekane chuoni, nilichofanya nilimkumbusha tu kuwa mwalimu wa somo ni muislam na mkuu wa chuo (wakati huo ni idrisa kikula) muislam, jamaa bado akawa mbishi akadai eti huyo mwalimu kashinikizwa na idara husika ili atukamate, dah! jamaa sup yenyewe hakufanya na akaacha chuo. ninachoona Tatizo kubwa la Uislam ni mafundisho wanayopeana kwenye mihadhara.
Hicho kitu ameshakisisitiza sana mkuu wetu Nguruvi3. Kimsingi Mohamed Said anawafanya waislam wanaomfuata wawe kama mazezeta. Yaani matatizo yao yote wanawasingizia wakristo bila kujitazama wenyewe kwanza. Akifeli, mfumo kristo. Akikosa kazi, mfumo kristo. Sasa wakristo wanaofeli au kukosa kazi wenyewe wanakosa kwa sababu gani?
 
Tumeishazoea kejeli zenu na dhiaka dhidi ya Waislam, mnawaita mazezeta, wanywa kahawa hawakusoma, akili za madrasa, waswahili. Hakuna geni kwetu.
 
Wale wakristo/wapagani wanaofeli, wanaokosa kazi, na wenye maisha magumu, wamlaumu nani?
 
Hicho kitu ameshakisisitiza sana mkuu wetu Nguruvi3. Kimsingi Mohamed Said anawafanya waislam wanaomfuata wawe kama mazezeta. Yaani matatizo yao yote wanawasingizia wakristo bila kujitazama wenyewe kwanza. Akifeli, mfumo kristo. Akikosa kazi, mfumo kristo. Sasa wakristo wanaofeli au kukosa kazi wenyewe wanakosa kwa sababu gani?
kuna tatizo kubwa la kimfumo katika uwasilishaji wa mafundisho ya dini yao.

Tumeishazoea kejeli zenu na dhiaka dhidi ya Waislam, mnawaita mazezeta, wanywa kahawa hawakusoma, waswahili. Hakuna geni kwetu.
hizo kejeli mnajitakia wenyewe, kila kitu kwenu mnahisi mnaonewa....
 
R,

Dharau kwa Waswahili...vibaraza, gahawa nk. nk.

.........................
unaweza kufafanua hapa? ni nani ameleta dharau?
kama utaleta na ushahidi litakuwa jambo la kheri kwasababu utani wa vijiweni na stori za mtaani si kitu cha kuweka kwenye public kama sababu kuwa kuna dharau zinafanywa dhidi ya uislam.
 
kuna tatizo kubwa la kimfumo katika uwasilishaji wa mafundisho ya dini yao.

hizo kejeli mnajitakia wenyewe, kila kitu kwenu mnahisi mnaonewa....

Wewe ni Mkirstu huwezi kufahamu mafundisho ya Uislam labda kama umeamua kujifurahisha.

Naomba nikuulize nyie ambao mnajiita wasomi wa Kikirstu ambao mmejaa serikalini toka enzi za Nyerere mmelisaidiaje taifa letu kutoka katika dimbwi la umasikini duniani na kupambana na ufisadi.
 
mwanakijiji inabidi uelewe kuwa mfano wako wa Somalia kuifananisha na Tanzania si sahihi kabisa wasomali wana historia na mazingira tofauti sana issue hapa i mfukomo kristo kandamizi :confused2:
Hebu ueleze upo wapi?
 
Wale wakristo/wapagani wanaofeli, wanaokosa kazi, na wenye maisha magumu, wamlaumu nani?

Wewe si unawaita Waislam mazezeta hakuna anayekupinga hizo ni fikra zako nadhani Waislam wanakusoma.
 
unaweza kufafanua hapa? ni nani ameleta dharau?
kama utaleta na ushahidi litakuwa jambo la kheri kwasababu utani wa vijiweni na stori za mtaani si kitu cha kuweka kwenye public kama sababu kuwa kuna dharau zinafanywa dhidi ya uislam.

Unaomba ushahidi mbona upo humu kwenye huu uzi tulizana pitia post moja baada ya nyingine utakutana na hayo maneno ya kejeli na dhiaka.
 
Wewe ni Mkirstu huwezi kufahamu mafundisho ya Uislam labda kama umeamua kujifurahisha.

Naomba nikuulize nyie ambao mnajiita wasomi wa Kikirstu ambao mmejaa serikalini toka enzi za Nyerere mmelisaidiaje taifa letu kutoka katika dimbwi la umasikini duniani na kupambana na ufisadi.
mkuu kwanza naomba uniondoe kwenye hilo kundi la wakristo wasomi, siifaham vyema hiyo elimu ya kikristo, vivyo hivyo elimu ya kislam,
vita ya umaskini, maradhi, ufisadi na ujinga ni vita yetu sote tukiongozwa na serikali tunazozisimika, vivyo hivyo Dini nazo zina vita yake kubwa kupambana na Shetani, labda uniambie leo Dini ya uislam ipo kundi gani?
 
kuna tatizo kubwa la kimfumo katika uwasilishaji wa mafundisho ya dini yao.

hizo kejeli mnajitakia wenyewe, kila kitu kwenu mnahisi mnaonewa....
Mkuu inasikitisha sana. Kuna akina mama wanaamka karibu kila siku ya Mungu saa tisa/kumi usiku kwenda kariakoo kutafuta mbogamboga na matunda, wapo wanaookaanga samaki/chapati/vitumbua nk. Yoote hayo ni katika kupambana na maisha magumu tuliyonayo. Wanapambana. Sasa hapa JF tunaona mijanaume na 'mikia' yao ikilialia eti inaonewa na Mfumo Kristo. Sasa sijui ndiyo inataka ipewe maisha bora kwa upendeleo bila kuhangaika. Upumbavu mkubwa...
 
mzee said utaona kuwa katika shukrani zako zote huna mkristu hata mmoja; hukutafuta familia ya rupia kutaka kujua na wenyewe wana resources gani; hukutafuta familia ya kyaruzi kutaka kujua na wenyewe walikuwa na resources gani; na cha kushangaza zaidi hukutafuta kuzungumza na familia ya nyerere (mama maria bado yu haid) kutaka kujua baadhi ya tuhuma unazomrushia mumewe. Kimsingi, katika kuandika histohisia yako hukutaka kupata taarifa zozote ambazo zingepingana na kile ambacho tayari ulikuwa umedhamiria kukiandika - "historia" yenye msingi wa chuki dhidi ya ukristu kwa ujumla wake na dhidi ya mwalimu nyerere binafsi.

It is this that makes your work incredibly discreditable! It follows none of the known rules of historical writing.

japhet kirilo ni muislamu???
 
Mkuu inasikitisha sana. Kuna akina mama wanaamka karibu kila siku ya Mungu saa tisa/kumi usiku kwenda kariakoo kutafuta mbogamboga na matunda, wapo wanaookaanga samaki/chapati/vitumbua nk. Yoote hayo ni katika kupambana na maisha magumu tuliyonayo. Wanapambana. Sasa hapa JF tunaona mijanaume na 'mikia' yao ikilialia eti inaonewa na Mfumo Kristo. Sasa sijui ndiyo inataka ipewe maisha bora kwa upendeleo bila kuhangaika. Upumbavu mkubwa...

Sweke34,

Basi tuishie hapa hakuna haja ya matusi.
Tija yoyote haipatikani tukiwa katika hali kama hii ya ghadhabu.
 
Unaomba ushahidi mbona upo humu kwenye huu uzi tulizana pitia post moja baada ya nyingine utakutana na hayo maneno ya kejeli na dhiaka.

Hata mm nimeona dharau nyingi kwenye huu uzi hasa huyu mtu anaeitwa YERICKO X
 
Sweke34,

Basi tuishie hapa hakuna haja ya matusi.
Tija yoyote haipatikani tukiwa katika hali kama hii ya ghadhabu.
Inakera sana mkuu wangu. Nimemuuliza Ritz, wakristo na wapagani wanaotaabika na maisha haya wamlaumu nani?
Wewe unaweza kutusaidia kwa hilo?
 
Back
Top Bottom